Kwakweli Kuitawala Tanzania ni Kazi Nyepesi Sana..Anachokifanya Magufuli Kwa Sasa ni Hichi

Wahenga walisema adui muombee njaa, lakini la pili na lipenda sana kuliko la kwanza " ukitaka kumtawala mwanadamu siku zote mnyime elimu bora"

Katika miaka hii ya 2015-2020 ndo miaka ambayo Tanzania ilipaswa kuionyesha dunia kwamba, inajitambua na inajielewa na imechoka kuendeshwa kwa matukio inataka mabadiliko ya kiuchumi na kimfumo. 

Hasa tujirejea 2005 na mwanzoni kwa miaka ya 2006 ambapo kwa kile kilichoitwa kasi ya viwango! kuna watu walikimbia mahoteli yao na mabiashara makubwa wakihofia kuingia mikononi mwa Serikali ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya! Vikao vilikua haviishi ngurudoto vamia vamia maofisini zilikua ni tabu, lakini saivi Raisi huyohuyo kuna watu wanaomba anyang'anywe hati yake ya kusafiria! Amazing!

Magufuli tangu ameanza kazi Ana mwezi na siku kadhaa sasa, na kazi yake tunaiona tumeona hata waziri mkuu akitembea na vinondo alivyopewa na wafanyakazi wema wa bandari na TRA na yeye kuvamia hayo maeneo na kuwachukulia hatua mara moja wahusika walioorodheshwa kwenye nondo zake! Well and good.. 

Ninachojiuliza ni Waziri gani wa nchi hii au naibu wake (waliopita) katika secta yoyote kati ya zilizoonyesha ubadhilifu mkubwa ambaye hata kuitwa kutolea ufafanuzi wa kinachoendea ameitwa? Lakini mtanzania huyuhuyu aliyeongozwa kwa style hizihizi zaidi ya miaka 54 sasa amevurugwa kabisa kana kwamba kinachofanyika sasa sio wajibu wa kiongozi na anapokea mshahara wake!

Nini madhara ya sifa hizi ambazo mimi nikiangalia huko dodoma watoto zaidi ya 50% wanazaliwa na mtindio wa ubongo sijaona mikakati ya kiubunifu ya kuliokoa taifa, Zanzbar saivi utadhani sio sehemu ya muungano na huyuhuyu mpewa sifa tangu akae Magogoni hakawahi hata kutoa kauli! Madhara ya sifa ni kwamba mwanadamu mwenye uwezo wa kucheza na akili za watu ambao wengi tumenyimwa elimu bora, ataona adhma yake imetimia na sasa ananafasi kwenye nafsi hizi zilizopoteza mwelekeo, ataendelea na style hiyohiyo huku akifukia mambo ya msingi yanayo muhusu mtu katika maisha ya kila siku! Na mara nyingi style za namna hii hufanywa na watu ambao wana "lack of creativity"

Huko mbeya kuna watu bado wanapenda kujifungulia Zambia kwasababu ya ubovu wa Hospitali za taifa so shame!

Kila kukicha thamani ya shilingi inazidi kuporomoka na bidhaa zinapanda bei Magufuli alivyoingia Ikulu sado ya viazi ilikua 3500 saivi 5000 sioni mkakati wa kuliokoa taifa na huu mfumko wa bei ukiuliza utaambiwa bado mapema tunasahau kwamba, wafanyabiashara ni wajanja bei ikishazoeleka wanaifanya ya kudumu,

Hadi saivi anachokifanya Magufuli, Majaliwa na Sef ni kuikosoa serikali iliyopita hakuna hata kimoja cha kwao walichokifanya taifa kuwa mahala salama pa kuishi,

Hapa juzi tu tuliambiwa serikali inatoa ada elekezi kwa shule binafsi hii inaleta picha gani? Hii ni tafsiri kwamba hakuna ubunifu wowote wala maono yoyote ya mzazi juu ya namna gani ya kuifanya elimu ya Tz kuwa bora hasa kupitia shule za umma! Japo tena hao hao wamekanusha kuingilia shule binafsi! "Contradiction"

Kuna watu nikiandika post zangu badala ya kufikiri kwa kina wanakimbilia kusema nimetumwa! Shauri yenu ujinga mwingine huo, na kwa taarifa yenu mi ni mtanzania huru kabisa ninaye waza tu hatima ya nchi yangu

Hii nchi inasafari ndefu sana kwa watu makini kuanza kumsifia mwanadamu yeyote! Tusichokijua tz ni kwamba, wanasiasa ni werevu sana hutafuta jambo ambalo anajua akilifanya watu wanaowaza kirahisi rahisi atakua ameteka akili zao na kufukia hata yale ambayo ni mahitaji yao ya msingi bila wao kujua "Dont play with Politicians they know how to play with your minds"

By H.T.P-Jamii Forums

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Well written bro, if only we all could see behind the facade of all these overly publicised raids..............

    ReplyDelete
  2. Good challenge. Tunapaswa kufikiri zaidi ili kufikia maendeleo tunayoyataka. Ninaimani raisi wetu ataendelea na kasi hii. Hilo la zanzibar wamemwachia tu jumbo bovu. Waliotoka wanajua zaidi kuliko Yeye. Mm nazani angemteua tu jk aende akatafute suluhu.ada za shule binafsi ndizo zinazosababisha wafanyakazi wawe wezi. Kwa sababu ziko shule zinatoza mpaka mil tano huko ukienda utakuwa watoto wa mafisadi tu.Kwan miaka ya tisini na 80, watu walisomaje. Shule hizo pia ziko kibiashara zaidi sio kutoa huduma. Lkn nyingi huwadanganya sana wazazi na wanajihusisha na wizi wa mitihani. Ni vzr serikali akaboresha tu maslahi ya walimu na hizi shule za uma. Na watoto wetu sasa hivi ni shida. Lzm nalo tuliangalie Kama taifa.

    ReplyDelete
  3. Good challenge. Tunapaswa kufikiri zaidi ili kufikia maendeleo tunayoyataka. Ninaimani raisi wetu ataendelea na kasi hii. Hilo la zanzibar wamemwachia tu jumbo bovu. Waliotoka wanajua zaidi kuliko Yeye. Mm nazani angemteua tu jk aende akatafute suluhu.ada za shule binafsi ndizo zinazosababisha wafanyakazi wawe wezi. Kwa sababu ziko shule zinatoza mpaka mil tano huko ukienda utakuwa watoto wa mafisadi tu.Kwan miaka ya tisini na 80, watu walisomaje. Shule hizo pia ziko kibiashara zaidi sio kutoa huduma. Lkn nyingi huwadanganya sana wazazi na wanajihusisha na wizi wa mitihani. Ni vzr serikali akaboresha tu maslahi ya walimu na hizi shule za uma. Na watoto wetu sasa hivi ni shida. Lzm nalo tuliangalie Kama taifa.

    ReplyDelete
  4. Duuu we jamaaa ni kiboko.. Mi ni ukawa lkn kwa kasi hii ya magufuli nimesalenda sasa ww kama huoni anachikifanya ww ni msomi usojielewa... Sasa ww ulitaka afanyaje basi uende ukamshauri!! Mbona nyie watu wengine wagumu kumkubali mtu akifanya vizuri why??!!

    ReplyDelete
  5. Jamani Tanzania nchi yangu tukija kujielewa will be too late,Roma haikujengwa miaka miamoja,mbona hajakamatwa waziri au naibu waziri wanakamatwa wasio na uwezo hata kama nawao walihiba huzembe huanzia juu sio katikati

    ReplyDelete
  6. Huyu naye wa wapi?

    ReplyDelete
  7. lisemwalo lipo ukiangalia hawa wanacheza na akili zetu

    ReplyDelete
  8. magufuli aongezewe ulinzi maadui hao washaanza kujitokeza

    ReplyDelete
  9. Enter your comment...mtoa mada tunatakiwa tuuheshimu uoni wake na alichongea kipo sahihi ni kweli kasi alioanza nayo raisi wetu ni safi sana and we want to more change in social services & development lkn hicho anachokifanya raisi ni wajibu wake kuwafanyia raia na watz lkn kwa kukosa elimu bora muda mrefu tunaona ni amazing things which our president do... ni sawa na mtu aonae mwanga hafifu baada ya kua kizani muda mrefu

    ReplyDelete
  10. Very very Good Challenge .......Sometimes we must think Outside the box!

    He/She did it! @alloedesantosmosha

    ReplyDelete
  11. Wapingaji LAZIMA wawepo. Kutofautiana kwetu ndiyo maendeleo. Hatuwezi wote kuwaza sawa. ILa naamini watu wote wanaoswma sana na kuwa na maneno "ngoja tuone" hao wanatamani ashindwe wapate lakusema ila tukumbuke hii ni nchi yetu sote. Tumeikuta na tutaiacha fanya jambo jema kwa wakati uliopewa kwa nafasi uliyopo.

    ReplyDelete
  12. Mimi ninachokiona kwa Sasa Mheshimiwa Rais Ameuanza Uongozi wake kwa Matumizi ya Ubunifu Binafsi wa Kutatua Kero za`Wananchi hususani MALALAMIKO yenye ukweli ya UFUJAJI MKUBWA WA PESA ZA SERIKALI,WIZI KATIKA TAASISI MBALI MBALI ZA SERIKALI,UHUJUMU UCHUMI hii ni kwa upande mmoja na upande wa pili Mheshimiwa Rais Ameendelea KUFUNGA MIANYA ya matumizi mabaya ya Ofisi na Madaraka kwa kuiibia serikali kupitia watumishi wake kujipangia kwa hujuma safari za nje zisizo na tija,kufuta mikutano ya kutengeneza pesa,semina za kiaia,mafungu ya kiwizi ya gharama za tafrija na sherehe.KINACHONIUDHI NA KUSHANGAZA SANA ni kwamba CCM kujigamba wanaposema Mhe.Magufuli anatekeleza ilaani ya uchaguzi ya ccm.HUU NI UONGO MKUBWA,NI UZANDIKI MTUPU,CCM NI WAONGO.hapa mheshimiwa magufuli anatuia hekima zake,ujasiri,bila woga anapambana na MAOVU YALIYOSIMIKWA NA KUACHWA NA MTANGULIZI WAKE.KWA MAANA NYINGINE NI MNYUKANO WA WAZI BAINA YA MWENYEKITI WA CCM WA SASA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.SASA HAPO UTANAFIKI KUWA MAGUFULI ANATEKELEZA ILAANI YA CCM?WAPO VIONGOZI WA CCM WAANDAMIZI ITABIDI WASHTAKIWE KWA UHUJUMU KWA MUJIBU WA USHAHDI WA WAZI USIO SHAKA,JEE HILO LIMO KWENYE ILAANI YA UCHAGUZI WA CCM?Tunawaombeni kinana na nape msituhadae watanzania,msitumie hila zozote kumkwamisha mheshimiwa rais,tumuunge mkono atufanyie kazi na wabaya wetu wote wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.acheni unafiki mchana unashinda kwa huyu na usiku unalala kwa huyu.msipoangalia woote hata nyinyi mtaangukia kwenye kapu hili tnaloliangalia sana,KAPU LA WAHUJUMU.

    ReplyDelete
  13. Mtoa mada we ni mpumbavu sana kwhy hauoni jitihada alizozifanya rais wa awamu ya 5? Unajifanya unafikiri kumbe unafikiria ujinga m2pu we ni mkundu 2

    ReplyDelete
  14. Nice....4 those who understand na wanaolipaa kodii nchii lakin ma daddys home na ma home boy hamuwezi kuelewaa...hayo ni mawazo yake xo weka nawe yako na sio umponde....kaonaa mbalii ,kabla ya kulinda Uchumii la Zanzibar vipii??mbna hajaongea lolote....dats shameful

    ReplyDelete
  15. Katika wa2 ambao hawaelewi watanzania 2naongoza kwahyo Magufuri kusema ukweli na kuikosoa serikali iliyopita kwa madudu iliyokuwa ikifanya amefanya kosa?? Acheni mawazo ya UKAWA 2shirikiane kufanya kazi kwa bidii mambo yatasonga mbele ?Mtoa mada inawezekana hajui hata alichoandika. AKAPMWE UBONGO

    ReplyDelete
  16. namzungumzia anonymous 10.51 yeye ameamua kutukana tena matusi mazito/sisi wafuatilia hoja tungefurahi kuyasoma majibu ya hoja za mwenzie,lakini yeye baada ya KUFIRWA KIKAMILIFU NA HOJA ZILE kichaa kimempanda,povu mdomoni kopo,kojo pwaa.amenajisi sana ukurasa wetu tunaoupenda kwa kuendekeza usenge na kufirwa,akapakatwe vizuri.

    ReplyDelete
  17. ACHA KUBEZA POLEPOLE NDIYO MWENDO KAANZISHA RAIS BARAZA LA MAWAZIRI ONYESHA KASI NA RAIS ENDELEA KUFIKIRIA TU MAWAZIRI WALIOBAKI TUTANGOJA MAANA HARAKA HARAKA HAINA BARAKA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad