Lowassa Afunguka....Gwajima ni Mnafiki......

Hivyo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.

Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.

Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shauri yao,kwetu sie kikubwa ni kuona Mungu alivyojitokeza kwa Taifa letu na kuona tumepata jembe,JPJM.
    Hapa kazi tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad