Lulu Michael Afunguka Juu ya Mahusiano ya Jux na Vanessa Mdee....Awapa Ujumbe Wanawake Wafupi

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kusema yake ya moyoni kuhusiana na mahusiano ya mastaa wawili wa bongo fleva, Jux na Vanessa kwa kuandika maneno haya kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha ya wawili hao.

“You can’t Stop Loving Short Girls ....Ukiona nakudanganya Kamuulize Anko Will Smith 20 years kakwama Kwa Aunty Jada
FAVE COUPLE….ikitoka Yangu Tu hii Ndo inafata
Kuna mijitu itapanic basi...Sasa unataka nikupende Wewe Na Mtu wako wakati hamueleweki

Bila shaka ‘short girls’ wote wameipenda hii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad