Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa….

Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara.

Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad