Magufuli Aitikisa Dunia Kwa Uchapakazi......Jina Lake Latawala Magazeti ya Marekani, Afrika Kusini na Australia

Kwa wiki ya pili sasa Rais Dkt Magufuli ameendelea kuwa gumzo barani Afrika na sasa hadi nchi za Ulaya zimedata naye.

Gazeti kubwa la Marekani, The Guardian limeandika habari isemayo:What would Tanzania’s cost-cutting president do? Twitter responds.

Pai  gazeti kubwa la  Australia,The Courier-Mail limeandika makala ndefu likimtaka Waziri mkuu wao,  Malcolm Turnbull ajifunze achapakazi toka kwa Rais wa Tanzania,Dr John Pombe Magufuli
Jina lake linatrend muda wote kwenye mtandao wa Twitter na kadri siku zinavyooenda habari za utendaji wake zinazidi kuenea.

Katika mtandao huo wa Twitter, imeanzishwa Verb ya jina la Magufuli iitwayo  magufulify ambayo imepewa maana ifuatayo;

Magufulify – 
==>To render or declare action faster and cheaper;
==> To deprive (public officials) of their capacity to enjoy life on taxpayers’ money; 
==>To terrorize lazy and corrupt individuals in the society.”
Aidha, Mtandao  mkubwa Afrika Kusini wa The South African, umeandika habari iliyonukuu mambo 10 mazuri  yaliyofanywa na Rais Magufuli ndani ya muda mfupi huku mtandao huu ukimtaka Rais wa nchi hiyo ajifunze toka kwa Magufuli.
 

Mambo  10  yaliyoanishwa na mtandao huo ni kama ifuatavyo;

==>Here are some of the things John Magufuli has done already in less than a month:
  1. Soon after his election, Magufuli declared there would be no celebration of Independence Day on 9 December because it would be “shameful” to spend huge sums of money on the celebrations when people were dying of cholera. Instead, the day has been set as a national day of cleanliness, and the money will go toward street-cleaning services. He has said everybody should pick up their tools and clean their backyards.
  2. After his first official visit to the Muhimbili Hospital, and seeing the horrible state it was in, he ordered over 200 million shillings marked for “parliament parties” be used to pay for beds for people lying on the floor and sharing beds. A few days later 300 beds were delivered. He dismissed the governing board and got a new team in place, and within days the broken MRI was fixed. He also pared down his inauguration party from $100,000 to $7,000 and sent the extra money to the hospital.
  3. Three days into his term, Magufuli announced a ban on all foreign travel by government officials. They have been instructed to instead make regular visits to rural areas to learn and help solve problems facing everyday Tanzanians. All tasks that required officials to travel abroad would instead be done by high commissioners and ambassadors who are already in place.
  4. He has restricted all first- and business-class travel to government officials, except the president, vice-president and prime minister.
  5. There will be no more workshops and seminars in expensive hotels when there are so many ministry board rooms available.
  6. He suspended the Tanzania Revenue Authority’s chief and other officials pending investigations after a visit by Prime Minister Kassim Majaliwa to the port of Dar es Salaam found 350 containers listed in its books were missing.
  7. When he had to travel 600km to Dodoma, from Dar, to officially open parliament last week, he didn’t order a private jet – instead, he chose to drive.
  8. At the National Assembly in Dodoma last week he clearly sent out the message that it will not be business as usual under his leadership.
  9. He promised to cut public spending, fight corruption and enhance accountability in public service. He said it is time for Tanzanians to walk the talk.
  10. Magufuli reportedly told parliamentary leaders that the people of Tanzania want him to solve their problems and not make speeches.
Hakuna anayeweza kubisha kuwa Magufuli ameiweka Tanzania kwenye chart.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mr hussein shaban lini umeanza kusafiri wakati wa nyerere ilikuwa ukisema wewe mtanzania ilikuwa hakuna hata mtu anajua tanzania ndio nini nyerere alikuwa mbinafsi alijitangaza yeye kushinda nchi au rasili mali kama vile Mt kilimanjaro,tanzanite nk magufuli anachapa kazi na tanzania inasonga mbele sahau nyerere ndio walio tuweke pa baya wenzie wemechaguwa viwanda yeye ujamaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sitaki kuamini kuwa wewe huijui historia ya maendeleo ya kiuchumi TANZANIA. Kwa taarifa yako Mwl. Nyerere aliwekeza nguvu kubwa sana katika ujenzi wa viwanda. Aling'atuka nchi ikiwa na viwanda kila mahali tena vya kila aina na vikifanya kazi. Hivyo anavyotaka kuvifufua/kuviendeleza Magufuli ni viwanda alivyovianzisha yeye Nyerere. Kwa ufupi, Magufuli anafuata nyayo za Mwl Julius Kambarage Nyerere.

      Delete
    2. Ni uzushi muhali kusema kuwa wakati wa Raisi Mwalimu Julius K. Nyerere watu hawakujua Tanzania iko wapi sababu Mwalimu alikuwa mbinafsi. Tanzania lilikuwa jina jipya na kwa kawaida watu wanahitaji muda mrefu kujua au kuzoea majina yanayobadilishwa k.m. Democratic Republic of Congo wengine bado wanaita Zaire au kisha Yugoslavia na Urusi kugawanyika imekuwa vigumu kukumbuka majina yote mapya; nafikiri wachache tu wanajua Montenegro iliko. Waafrika tuko makini kujua nchi nje ya Afrika, Wazungu si hivyo, hata mtaa nyuma ya wanakoishi hawaujui na wengi wanafikiri Nairobi ni nchi. Tusitafutiane makosa yasiyo na maana.

      Delete
    3. Jamani kama hujui jambo usikurupuke na maneno ya kwenye kahawa. Wapo wanaosema nyerere alikuwa na TV na Internet oo sijui na Twiter pekeyake na kuwakataza wenzie. Ni propaganda za waliokosa fikra na wavivu wa kujifunza historia za nchi zao wenyewe. Leo hii tunanunua viatu salamander bei ghali sana wakati bora shoes na moro shoes ilikuwa kiwango sana tena bei chee. Nenda Ethiopia wenye ngombe kama sisi ukaone. Mwalimu alianzisha Department of Geology pale Ud tusiibiwe madini leo tunasaini mikataba ya ki sultani mangungo. Mwaka 73 alianzisha kiwanda cha kahawa cha Africafe ikawa na kahawa safi technologia ya Nestcafe, ni mizengwe tu wale jamaa walituwekea ili tusiwaharibie soko. Acha za kijiweni, mzee nyerere alikuwa mtu muhimu sana kwa taifa hili kajifunze ndo uwe na haki ya kuongea

      Delete
  2. HAPA KAZI TU CCM OYEEEEE

    ReplyDelete
  3. Hahahahahahahah!Tuliokuwa hatumuelewi sasa mbona tunamuelewa,NI JEMBE KWELIKWELI,tukubali tu jamani kwamba ndio rais aliyekuwa anatafutwa na waTZ wote,
    Kama ni kubisha tutabisha tu kwa ile dhana ya upinzani viroba.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad