Majina Kamili ya Wabunge Walioingia Kwenye Baraza Jipya la Rais Magufuli Mpaka Sasa


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oops
    Nape
    Mwigulu
    Hakuna jipya
    Kulipana fhadila yale yale ya Jk

    ReplyDelete
  2. AFDHALI HATA NCHEMBA, NAUYE NI KITUKO!

    ReplyDelete
  3. Angela aliyekuwa anagawa vitanda Temeke juzi
    Nape anatoa pikipiki juzi Leo mawaziri
    Eti mnakamata watu hawajalipa
    Kodi
    Haingii kichwani hawa uliowateuwa wamepata Mali hizi za mssada na within one one unawateuwa Kuwa mawaziri

    ReplyDelete
  4. Kopa mwanangu dada yetu kawa waziri tena wizara yetu
    Mbona mduara tunao bibi
    Mipasho tangu kata hadi kwa waziri
    Watatukoma wapinzani

    ReplyDelete
  5. jamani tusubirietuone labda watabadilika kina nape mwigulu na muhongo.

    ReplyDelete
  6. Watanzania wenzangu,dereva mzuri tunae kwa nini mna wasiwasi na safari yetu?Kwa bunge la sasa wengi ni wapya/au wale ambao hawana uzoefu,na shule inachangia.Ikiwa kosa moja linaacha mke,utaoa wangapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad