Mama Lulu Michael Atia Ngumu Mwanae Kuondoka Nyumbani na Kwenda Kuishi Mwenyewe Geto...

Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili yake.

Mama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado anahitaji aishi katika maadili ya mzazi.

Chanzo:Global Publishers

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad