Tamko kutoka kwa Balozi Mark B. Childress kuhusu uamuzi wa Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia kuahirisha kupigia kura mkataba wake na Tanzania
*********
Tarehe 16 Disemba, Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) haikuichagua Tanzania kwa mkataba wa pili. Bodi iliahirisha kupigia kura mkataba wa pili, ikisubiri kutatuliwa kwa masuala ya kiutawala.
Bodi inaweza kuangalia upya ustahilifu wa Tanzania mwaka 2016. Ninatumaini kwamba Serikali ya Tanzania itachukua hatua hivi karibuni zitakazotatua masuala hayo ya kiutawala. Halafu, Bodi itaweza kupiga kura kuichagua tena Tanzania na kuidhinisha maendeleo ya mkataba.
Masuala ya kiutawala ya Bodi yanaakisi maadili ya muda mrefu ya MCC. Kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar kulisitisha mchakato wa uchaguzi uliokuwa unaenda vizuri na kwa amani.
Matumizi ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 kuwakamata watu waliokuwa na kibali halali kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi yalikwaza uhuru wa msingi wa kujieleza na kukutana.
MCC imetiwa moyo na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na Rais Magufuli za kuimarisha vita dhidi ya ubadhilifu na rushwa. MCC inatumaini kuwa jitihada hizo zitaendelea na kuleta mabadiliko ya kimfumo.
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Na bado CCM mtakoma washenzi nyinyi
ReplyDeleteMnamuangusha magufuli
Koma we, mshenzi ni wewe na ukoo wako.
DeleteTutawaonyesha kwamba Tanzania sio nchi masikini, hatutembezi 'bakuli' mwaka huu...akawasaidie hao alowalazimisha kufirana....mfyuuuuu
Magufuli achana Na vijisenti vyao
ReplyDeleteWalikuwa wakimchezea kikwete aliyezoea kwenda USA Kila mwezi
Kwanza futa huo mtaa Obama
Kwani rais gani kupewa jina la mtaa USA
Fuck hata wakitaka funga balozi zao mbwa hawa
Nampenda Mugabe Na Castro hawababaishwi na wazungu
hatuhitaji hivyo vijisent vyao hivi sasa tunakusanya mapato mazuri tanzania ni nchi huru hatuwezi kuwa tunasukumwa kwa sababu ya visenti mbuzi
ReplyDeleteTatizo letu watanzania kuongea sana hadi upuuzi, kama S. Africa inapokea misaada ije kuwa Tanzania hii ya wasukuma na wakwere. Ni lini taifa hili limefanikiwa kujipanga na likafanikiwa kutohitaji misaada. CCM bhana kweli mavuvuzela yaani hii pressure ya muda mfupi ndio inawadanganya
ReplyDeleteKwani south nini si Kuma tu Kama wewe
ReplyDeleteMagufuli anzia CCM upate uenyekiti futa futa wote hao
ReplyDeleteWamezoea kuishi kwa mazoea
"The hand that give, rule"
ReplyDeletehaya maneno patrice lumumba aliwahi mwambia balozi wa marekani alipotaka kuisaidia serikali ya congo baada tuu ya kupata uhuru toka kwa wa belgium. mabutu alimzunguka boss wake lumumba na kuungana na marecan. kilichotokea congo ndicho tunachokiona mpaka leo hii
tafakari hayo maneno ya lumumba kabla mjakosoa serikali ya magufuli