Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dongo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa

 Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa

Ameposti picha hii hapa chini Paul Makonda akimfunga Ridhiwani Kamba za viatu
na Kuandika "Hivi Ndivyo U DC Unavyopatikana, Kujikomba Komba"


Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AAAibu, kumbe jamaa ndipo alipopata ukuu wa wilaya, duh!

    ReplyDelete
  2. Kujikomba komba!

    ReplyDelete
  3. Shoga hili Makonda

    ReplyDelete
  4. Huyo Peter Msigwa akapimwe akili kwanza, yeye mwenyewe alisema atakaye mpokea Lowasa akapimwe akili. Je ameshapimwa pamoja na wenzake na majibu yanasema.....WOTE VICHAA!!

    ReplyDelete
  5. ndo maana anaendesha mambo kienyeji.

    ReplyDelete
  6. Mtaisoma namba Tu awamu hii kwani cha ajabu nini mchumia juani hulia kivulini

    ReplyDelete
  7. mchungaji kavu kweli
    ndo akina ngwajima hao
    haisaidii kitu makonda waeke ndani tuu si wanajifanya wanajua matusi

    ReplyDelete
  8. Kuna tofauti kumvika mwanaye viatu jamani
    Mbona wako wengi walopitia mgongo ridhiwani
    Mkuu WA wilaya Temeke waziri kariuki Na wengine kibao

    ReplyDelete
  9. msigwaaa achana na makonda atakufunga shauri ako

    ReplyDelete
  10. Cjaona cha ajabu hapo kwani namuona Makonda ni mwenye akili sana.anajua kutafuta,kuliko ata we msigwa inabidi ukapimwe akili.cjawahi ona mtu kama we msigwa unamcheka mwanaume mwenzio katika kutafuta? Kuna usemi Funika kinyesi uvune Uyoga!! aliinama Kufunga kiatu 1 cha Riz akiwa ni makonda;alipomaliza tu kasimama akiitwa mheshimiwa makonda tatizo nn.

    ReplyDelete
  11. amfunge viatu kamba kwani mke wake? au inakuwaje jamani mi sielewi huyo makonda ni mwanamke au mwanamume?

    ReplyDelete
  12. Bwege linamfunga kamba Viatu mwanaume mwenzie

    ReplyDelete
    Replies
    1. mkalie uchi utsjua kama ni mwanamke au mwanaume
      mpe tako uone

      Delete
  13. Hahaaaaaa mafisiem wanakuwa wakali kwenye ukweli. Cheki hizo comments zao kenge hawa.

    ReplyDelete
  14. ukawa mmeishiwa pumziii kalaleni tuachieni ccm nchi fisi nyie

    ReplyDelete
  15. sionin sababu ya watu kutukanana hapa anaelipwa namakonda nani hapa au rizi au msigwa mbona hamuelewekiiii

    ReplyDelete
  16. Ni aibu kwa MTU mzima Mchungaji wa Dini na Mbunge wa wananchi kuamini na kusambaza uongo. Hao kondoo anawachungaje?

    Huyo pichani sio Paul Makonda ni Deogratius Kessy kijana anayefanya kazi kwenye duka la mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi. Kupotosha na kusambaza kuwa huyo ni Paul Makonda ni kuwafanya wanaokuamini wote ni NYUMBU.

    Aibu sana Ndugu Mbunge msambaza uongo.

    ReplyDelete
  17. Mambo mengi humu uongo tu sasa mnaamini vipi kuwa makonda anamvalisha Riz viatu. Haingii kichwani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad