Mch. Gwajima Asifu Utendaji wa Magufuli

"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe"

Sehemu ya mahuburi yake leo Jumapili kanisani kwake

Nafasi za Kazi Kutoka Magazetini leo

Bonyeza www.ajirayako.com

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu gwajima ni mnafiki sana. kasahu alivyokuwa anaitukana ccm.

    ReplyDelete
  2. TENA WAKWANZA WEWE ASAFISHWE MAANA NI ZAIDI YA MWIZI NA MUONGO NOMBER 1.

    ReplyDelete
  3. watanyooka tuu, wenyewe wanaanza kuropoka na kujipendekeza.

    ReplyDelete
  4. HUYU GWAJIMA ANABIDI AFUNGIWE KANISA LAKE KWANI NAE NI MMOJA WA MAFISADI, MAJIZI YALIOJIFICHA KANISANI. ALIKUWA WA KWANZA KUTOA MATUSI MAZITO KWA VIONGOZI WA CCM. INAKUWAJE LEO KASAHAU?? ATIWE NDANI!!

    ReplyDelete
  5. Huyo Gwajima aache unafiki, atuambie yale magari yake pamoja na hiyo helikopta kama aliipata kihalali na kama aliilipia ushuru.

    ReplyDelete
  6. wataelewa tuu mwaka huu
    Magufuli ndo chaguo la Mungu

    ReplyDelete
  7. Magufuli selemaaaaaaaaaaaaaaaaa!
    MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  8. Vipi kuhusu ule mpango wa gwajima kuigeuza misikiti iwe sunday schools..........AMESHINDWA NA AMELEGEA........!!!

    ReplyDelete
  9. Gwajima umeshakula malimau???

    ReplyDelete
  10. Yaani huyu mbaba mnafiki jamani du!! Kale ndimu ukoo ovyoo huna haya waala hujui vibaya mfuuuuu...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad