Mfanya Biashara BINSLUM TYRES LTD Akiri Kuwa Makontena yake 20 Hayana Nyaraka za Kodi

BINSLUM
UKWEPAJI KODI BANDARINI: Mfanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar Nassoro Ahmed bin Slum anayemiliki kampuni inayoitwa BINSLUM TYRES LTD, katika mazungumzo yake na gazeti la Raia Mwema amekiri kuwepo kwa utata wa kodi

Katika maelezo yake amekiri makontena 20 tu hayana nyaraka za kodi lakini kamtupia lawama wakala wake

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna ule usemi wa kale ambao ni muhimu sana wakati katika maisha yetu ya kila siku sisi binadamu usemao"USILE NA KIPOFU UKAMSHIKA MKONO"Nafikiri jibu la msemo huu maana yake inafahamika sana

    ReplyDelete
  2. HAWA WOTE NI WIZI KAZI SASA KUTUPIANA LAWAMA

    ReplyDelete
  3. kamata kamata mafisadi wote ili tupate nafuu

    ReplyDelete
  4. ACHA UONGO BWANA UNATIA HASIRA MPAKA BASI,KWA NINI HUKUFATILIA?HIVI UNGEKUWA UMELETEWA KONTEINA ZINA KASORO USINGEFATILIA?WATANZANIA TULIANZA NA MUNGU,NA NDIO MAANA MNAUMBUKA.LIPA PESA ZA WATANZANIA.

    ReplyDelete
  5. ndo michezo yao hao inaonekana washapiga mambo yao kwenye utawala uliopita wa anasa

    ReplyDelete
  6. Lazima watoke na manyau nyau yao

    ReplyDelete
  7. Usually I visit your blogs and get updated through the information you include but today’s blog would be the most appreciable. Treat your sims a to day of pampering with the sims 4 spa day. Coming to game sims 4 cheats on Xbox one.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad