Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kupiga Marufuku Mikutano ya Wapinzani Kushukuru Wananchi ni Sahihi?
7Udaku SpecialDecember 24, 2015
Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku mikutano ya wapinzani ya kushukuru wananchi. Kasema mtu aliyeshindwa atashukuru nini kama siyo kuleta vurugu?
Kaonya wakuu wa mikoa na polisi watakaotoa vibali watashughulikiwa bila huruma
Sasa tunaingiza nchi kwenye udikteta wa aina yake. Wapinzani wanahaki kikatiba kushukuru. Majaliwa akumbuke si wachache waliowapigia kura hao wa vyama vya upinzani. Ni watanzania kama waliowapigia CCM kura. Tunahitaji mshikamano na siyo utengano.
Nchi bado haijapona vidonda, hamuoni kuwa ni mapema mno kuanza hizi patashika! Huyo Fisadi ataongea nini cha zaidi ambacho rafiki yake JK hakukiongea?!
Kavaaaaaaaaa wingi jamaniiiiiiiiiiiiiii Kwa umri huo usiwe na mvi. Fyuuuuuuuuuuuuuu Shoga anza Na kichwa chako kabla hujayavalia njunga ya wengine Chonde lakini wote hao walichaguliwa na shemeji yako jakaya
Sasa tunaingiza nchi kwenye udikteta wa aina yake. Wapinzani wanahaki kikatiba kushukuru. Majaliwa akumbuke si wachache waliowapigia kura hao wa vyama vya upinzani. Ni watanzania kama waliowapigia CCM kura. Tunahitaji mshikamano na siyo utengano.
ReplyDeleteNchi bado haijapona vidonda, hamuoni kuwa ni mapema mno kuanza hizi patashika! Huyo Fisadi ataongea nini cha zaidi ambacho rafiki yake JK hakukiongea?!
DeleteC sawa ht kdg,huo ss ni udikteta
ReplyDeleteYale Yale ya Msoga
ReplyDeleteWewe kasimu ndugu WA Slama fyuuuuuuuuu
Na Nasikia kutapika
Hizo nywele unatia kanta
Oops Mtu mzima ovyo
Kwanza anza na nywele zako Mtu mzima ovyo
ReplyDeleteMkeo mchanga
Senge hili halina mpango
ReplyDeleteAtakufa kifo cha Mende fyuuuuuuuuuuuu
Zuruia kinana tapeli kubwa la dunia
Kavaaaaaaaaa wingi jamaniiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteKwa umri huo usiwe na mvi. Fyuuuuuuuuuuuuuu
Shoga anza Na kichwa chako kabla hujayavalia njunga ya wengine
Chonde lakini wote hao walichaguliwa na shemeji yako jakaya