Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kupiga Marufuku Mikutano ya Wapinzani Kushukuru Wananchi ni Sahihi?

Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku mikutano ya wapinzani ya kushukuru wananchi. Kasema mtu aliyeshindwa atashukuru nini kama siyo kuleta vurugu?

Kaonya wakuu wa mikoa na polisi watakaotoa vibali watashughulikiwa bila huruma

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa tunaingiza nchi kwenye udikteta wa aina yake. Wapinzani wanahaki kikatiba kushukuru. Majaliwa akumbuke si wachache waliowapigia kura hao wa vyama vya upinzani. Ni watanzania kama waliowapigia CCM kura. Tunahitaji mshikamano na siyo utengano.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nchi bado haijapona vidonda, hamuoni kuwa ni mapema mno kuanza hizi patashika! Huyo Fisadi ataongea nini cha zaidi ambacho rafiki yake JK hakukiongea?!

      Delete
  2. C sawa ht kdg,huo ss ni udikteta

    ReplyDelete
  3. Yale Yale ya Msoga
    Wewe kasimu ndugu WA Slama fyuuuuuuuuu
    Na Nasikia kutapika
    Hizo nywele unatia kanta
    Oops Mtu mzima ovyo

    ReplyDelete
  4. Kwanza anza na nywele zako Mtu mzima ovyo
    Mkeo mchanga

    ReplyDelete
  5. Senge hili halina mpango
    Atakufa kifo cha Mende fyuuuuuuuuuuuu
    Zuruia kinana tapeli kubwa la dunia

    ReplyDelete
  6. Kavaaaaaaaaa wingi jamaniiiiiiiiiiiiiii
    Kwa umri huo usiwe na mvi. Fyuuuuuuuuuuuuuu
    Shoga anza Na kichwa chako kabla hujayavalia njunga ya wengine
    Chonde lakini wote hao walichaguliwa na shemeji yako jakaya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad