Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo Asimamishwa KAZI Kupisha Uchunguzi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mh. George Simbachawene amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo kwa kushindwa kuzingatia Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wa kumpata mtoa huduma katika kipindi cha mpito.

Simbachawene amesema mtendaji huyo alishindwa kuchukua hatua hata pale alipobaini kuwa mtoa huduma wa mpito amekiuka masharti ya mkataba wa kutoa huduma ya mpito na kufanya maamuzi makubwa pasipo kuishirikisha Bodi ya Ushauri ya DART.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Memo ilitoka Msoga
    Mtaoneo watu bure uuozo wote ulikuwa kikwete Na wasaidizi wake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad