Mwanamuziki Bayo Atoa Wimbo Mkali wa Riddim Kama Zawadi ya New Year..Usikilize na Kudownload Hapa

Msanii Bayo amefanya riddim nyingine na this time ni kny beat ya Paper Loving ilofanywa na msanii wa Jamaica Chris Martin. Bayo ameiambia udaku specially kua huu ni wimbo ambao ameutoa kama bonus ya new year. Hivi karibuni Bayo the great ataachia video ya wimbo wa Kitimtim ambayo itatengenezwa chini ya director Nick Dizzo wa Focus Films.

Sikiliza na Download Hapa chini:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad