Mwanamuziki Diamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live...Angalia Alichofanya Hapa
10test blogDecember 26, 2015
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.Mashabiki baada ya kupagawa na shoo.…Akiongea na mashabiki wake.Akiwasalimia mashabiki.
tisha sana Mondi
ReplyDeletekaweka history gani. cku ya skukuu kila pahali panajaa.
ReplyDeleteMBONA WATU SI WENGI KAMA MLIVYOTAMBA?
ReplyDeleteNi ya kawaida hakuna jipya. kiki nyiingi mwisho sarakasi.
ReplyDeleteacheni kumpaisha Domo hakuna historia yoyote hapo. kawala pesa tuu
ReplyDeleteha...ha..mmeona eeh,domo anawatoa njaaa hawa,ufukara shida sn
ReplyDeleteSimbaaaaaa
ReplyDeleteSimbaaaaa
ReplyDeleteSimbaaaaaa
ReplyDeleteSimbaaaaa
ReplyDelete