Mwanaume Tambua Dawa ya Wanawake Wanaokukataa Kwa Sababu Huna Pesa....


Kuna tabia ambayo baadhi ya wanaume wamekuwa waki wa lalamikia wasichana kuwa hawana mapenzi ya Kweli wanapenda pesa tu,sasa minawapa dawa wanaume wenzangu ya kufanya wanapokataliwa na wanawake kwa sababu ya kipato chao kidogo,mwanamke akikuka taa kwa sababu huna pesa,usilalamike wala kusononeka,unachotakiwa kufanya tafuta pesa kwa nguvu zako zote"focus "kwenye malengo yako ya mafanikio mpaka ufanikiwe na wwe siku ukifanikiwa ukiwa tajiri,wanawake maskini wakikushobokea wakijifanya wanakupenda usiwakubalie na kamwe usikubali tena kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke maskini au mwanamke njaa wao si walikukataa ulipokuwa huna kitu,na ukioa oa mwanamke tajiri usioe mwanamke maskini wasije wakakurudisha nyuma kwa sababu wanawake wengi wanaopenda wanaume matajiri hawajui "struggling" wanapenda short cut na hawana vision zao binafsi za kufanikiwa zaidi ya kutegemea wanaume ndio wawatoe kimaisha.

Fanya kama alivyofanya Diamond platinum alipokuwa hana kitu wanawake wazuri walimkwepa kama ukoma alipozipatatu akawa gumzo kwa wasichana mjini,kila msichana anajifanya anampenda Diamond platinum, alipokuwa hana kitu mbona walimtenga,ila nimemsifu amechukua mwanamke tajiri tena kutoka nchi za nje,zari the boss lady,na wewe ukizipata oa hata mtoto wa Obama,kwanza ukifanikiwa ukawa tajiri usioe kabisa mwanamke maskini wanawake wengine wana mikosi utafilisika bure,na Rudi kwa wasichana wanaopenda wanaume matajiri na kuwapiga chini wanaume wenye kipato cha chini.

Kama wwe ni msichana unapenda wanaume matajiri na kushauri tu uache hizo tamaa zako kwa sababu kwanza unatakiwa ujue wanaume matajiri wapo wa chache kwa hiyo sio rahisi kuwapata wakakuoa ni bora ukomae tu na maskini wenzio ipo siku mnaweza mkatoka,pili asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa walikuwa na wapenzi wao Tangu zamani, kuna usemi unasema "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke shupavu" kwa hiyo wwe kama msichana sio rahisi kuwapata wanaume matajiri wakakuoa labda wakutumie tu kama chombo cha starehe,na choku washauri komaeni na maskini wenzenu mtatoka tu shida zina mwisho wake mkiji tuma.

Note: no short cut to process.

Nafasi za Kazi 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa umenena vyema adim
    sema wataelewa sasa hao madada ????

    ReplyDelete
  2. WANAUME NAO MKIWA HAMNA KITU MNAISHI KWA SHIDA MAPENZI YANAKUWA MAZURI MATAMU ANAKWIITA WIFE HONEY LA AZIZ NGOJA MPATE MAFANIKIO MUWE MATAJIRI HAPO JINA LINABADILIKA MSHAMBA HUYU NILIMUOA KIMAKOSA ANATAFUTA WANAWAKE WANAOVAA HIGH HILLS NA WANAOPAKA MIKOROGO NA LIP STICK NYEKUNDU ANAO MKWE MWENGINE HARAKA.WAPO WENGI WANAUME WA JINSI HII WAKATI MMEHANGAIKA WOTE NA MKWEO KUTAFUTA UTAJIRI HUO. TENA WENGINE WANAKUFUKUZA NA NYUMBANI ANASEMA HUSTAHILI KUKAA GHOROFANI WAKATI MMELIJENGA WOTE HILO GHOROFA. WANAUME ACHANI HIZOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  3. Kiswahili bana sometimes tabu ulimaanisha"MKE"au"MKWEO?Rudia tena kuisoma na kuisaihihisha comment yako kabla ya kuituma mtandaoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. huo ni ulimbukeni,kuiga maisha ya watu kwani watu wote sio sawa.

      Delete
  4. wanawake wangapi ni matajiri hapo tz?jee wnawake makini waolewe na nani?ushauri gani huo wa kuandikwa magazetini kwani masikini sio watu ?pea mwisho wake wapi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad