Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu

Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.

Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.
Piga simu 0689 122 515
Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Itasaidoa nini.mmeonyeshwa masisadi na mmewardisha kwenye vyeo.hakuna kitu.

    ReplyDelete
  2. MAMBO HAYA ILIBIDI MUYAFANYE TANGU MIAKA YA NYUMA. WATU WA TRA NA BANDARI WAMEIBA SANA

    ReplyDelete
  3. Inapaswa kuwe na namba pia ya kuwaeleza wala rushwa,kwani wanaishi na wananchi waeleze mali zao wanazipata wapi?Lakini wakiachiwa TAKURURU peke yake hawawezi.Wananchi inabidi washirikishwe kidhati!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad