Nilibakwa na Majambazi Waliotuvamia Nyumbani Usiku..Nimepata Ujauzito Msaada Tafadhali


Nilibakwa na Majambazi Waliotuvamia Nyumbani Usiku..Nimepata Ujauzito Msaada Tafadhali
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ninaujauzito na siko tayari kuzaa na mtu nisiye mjua.iko hivi, ni mwezi sasa umepita tulivamiwa sehemu niliyopanga sijui kama na wenzangu iliwatokea ila wezi hao waliingia vyumba vinne tofauti na changu kikiwemo, waliingia kwangu walihitaji hela nasikitika mmoja wao aliniingilia kimwili, sikua na jinsi kwa sababu walikuwa nasilaha. Hivyo naombeni mnisaidie siwezi kuzaa namtu nisiye mjua jamani.



Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kapime ukimwi kwanza, kama haujambukizwa basi zaa tuu umlee mwanao anaweza kua mtu muhimu

    ReplyDelete
  2. POLESANA DADA YANGU INGAWA YAMETOKEA USIFANYE KOSA RA KUUA HICHO KIUMBE HAKINA HATIA INGAWA HUJUI ARIYE KUPA UJAUZITO WEWE MUREE MWANAO MUNGU ATAKUJARIA

    ReplyDelete
  3. Mmmh ra,ariye,muree. Kiswahili kigumu

    ReplyDelete
  4. zaa tu, kwani jambazi cyo mtu?, yapo majambazi ya aina nyingi, yapo majambazi ya mali za umma, ya kuhukua rushwa, yakuvunja nyumba, kwahiyo yote ni binadamu tu, unaweza hata ukawa unaishi na jambazi mmoja ambaya sana anayeiba mali za umma!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad