Nina Hakika Hili Baraza Halikuwa Chaguo la Mheshimiwa John Pombe Magufuli

Kwa kweli imenishangaza sana. Ikiwa mkuu wetu ni msafi imekuwaje akarudisha baadhi ya watu waliotutia hasara kubwa na hata ikapelekea kujiuzulu baada ya kelele za wananchi kuwa kubwa.

Tena kuna wengine wana dharau sana kwa wananchi pia nimewaona. 

Kwa kweli bado sijaamini. Inaonekana kuna shinikizo, but, tusubiri!!

Source: Jamii Forums

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia kutapika na hasira
    Kweli kweli
    Lakini kosa letu wapiga kura
    Kwani CCM hata wamlete Obama , queen Elizabeth , papa
    Yatakuwa yale yale

    ReplyDelete
  2. Safi sana muheshimiwa raisi umetuletea damu changa nyingi ambao ndio watakao kuwa viongozi bora wa baadae chini ya uongozi wako.

    ReplyDelete
  3. ni vitu vya kushangaza hata Nape kupewa wizara? cjui ni fadhili hizi? kweli kwenye hili hata mimi nimesikitika!

    ReplyDelete
  4. KAMA TUKIHESABIWA MAOVU YETU HIVI NI NANI ATASIMAMA?
    WEWE NI MSAFI KIASI GANI?TOA KWANZA KIBANZI KILICHO KWENYE JICHO LAKO NDIPO UONE LA MWENZIO,MSIHUKUMU NDIO MAANA MUNGU ALIWEKA TOBA.
    GOD BLESS TANZANIA.

    ReplyDelete
  5. Kwa nini umesafisha bandari na kumrudisha waziri aliyeshindwa madaraka na kuiingiza nchi hii pagumu. Mbona umeshauriwa na Kikwete . Alikwrnda hadharani kukanushsha ufisadi akijua umemrudisha mwajyembe ambaye huenda ameshirikiana na mkuu wake. Makamba na matusi ya nguo umempa cheo. Hawa wote mali ya Kikwete. Je ushujaa na hekima zako ni hizi. Mungu unamjua hasa, hawa wanahitaji kujibu maswali ya mabehewa na mkuu wao. CCM ni ileile huna uhuru. Umebanwa bado na kundi.
    Mbona unatuangusha tena watanzania. Tutaletaje demokrasi hivi. Unafunga dagaa unamwacha dingi familia na rafiki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TUMA SALAMU KWA WATU WA3, UCHAGUE NA MWIMBO KUWABURUDISHA

      Delete
  6. Kama ni mcha Mungu ondoa hawa waliowekwa na Kikwete. Uwe shujaa.hutakuwa na uwezo kikazi, mweke Mungu mbele. Hawa wameweka mali zao mbele ya maslahi ya Watanzania.inaumiza. do whats best for people and the nation please. Hii no joke.

    ReplyDelete
  7. Tatizo mlitaka achaguliwe mbowe kuwa waziri wakati hana sifa hiyo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli, kwani hata macho yake hayana ushirikiano

      Delete
  8. Mawaziri 13 wa awamu ya nne ya mhe.Kikwete wamerudi!kumteua mtu kama januari kwake[yeye janu] ni deal kubwa.ataitumia nafasi hiyo kujilimbikizia kisawasawa.kuhusu mwakyembe aliiharibu sana reli,bandari na ana shauri la uchaguzi mahakamani mbeya hili limepuuziwa kama si jambo, hapa ni tatizo, ni shida.kuhusu nauye ni sawa kama ilivyo mwigulu.hawa watu wanne walijitoa kwa kila aina ya fujo, faulo kuhakikisha magufuli anapita[mfano mwakyembe alimsalitisha dr.slaa ambaye kwa sasa ni rotten carrot na amekimbia nchi yeye na hawara yake.imelipwa fadhila na haukuangaliwa utendaji.SIYAONI MATUMAINI ya mabadiriko yeyote yenye ukweli wa neema na maendeleo kwetu watanzania kwa miaka hii mitano ijayo NI MISUGUANO,MISUGUANO,KESI KIBAO,HUJUMA,NJAMA,TAMBO TELE ZA KUKERA NA KUUDHI ZA HAWA WASIOFAA WANNE.Mhe.Magufuli pamoja na nia yake nzuri sana kwa taifa 'amefungulia milango ya sabotage'kwa hawa hawa mawaziri 'wabaya'wachache tunaowalalamikia.mbona hatumlalamikii lukuvi,simbachawene,mwaijage,kitwanga,mabula,mahiga na wengineo,tunaweka unafiki mbali.mtu mbaya ni mbaya mwache abaki na ubunge wake.ACHANA NAYE.MWACHE!

    ReplyDelete
    Replies
    1. MCHAWI MPE MWANAO AMLEE, HAMROGI NG'OOO!!

      Delete
  9. usitapike kama vip kufa kabisa coz huna faida wew mawaziri bado hawajaanza kazi mnalalamika na kasema atakajezingua anafukuzwa
    mnapenda kulaumu tuu pesa alizo save mbona hamziongelei? ameondoa orientation mbona ilo hamsemi ebu acheni rohoo za chuki
    na mlitaka watoke mbinguni??
    wawe wasafi, wew apo ni msafi???
    apa kazi tuu na mtaelewaa tuu ngoja huu mwaka huuishe

    ReplyDelete
  10. Tafadhali wekeni msoni yangu.ukwi lazima utolewe.hili ni bomu tupu. Simutegemea mgf awe namna hii.Anakatisha tamaa watanzania ni si shujaa wala si muungwa na si mcha zmungu. Ssingeweza kulazimishwa juleta uozo tena. Hana uhodsri na anatumika. Kama umewekwa pambo pambo la uongozi ni ushujaa.unaogopa nini. Basi usingrkubali cheo cha uraisi hasa wakati huu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu rudia ulichokiandika, hakieleweki, umechapia chapia mno, 'BOKO' 100%.......PUNGUZA JAZBA, HAPA DUNIANI HUWEZI KUWARIDHISHA WOTE

      Delete
  11. kwa kwl mheshimiwa katuangusha sana haingii akilin kuchaguliwa nape na january hawa watu wanalipwa fadhila tena c bure kwa kichwa ya magufuli nakataa lazma awe ameshinikizwa na wakuu wake tu c yy ila bado tunakuweka kwny maombo tunafaham unauchungu na wananchi wa hali ya chini na tunajua kuwa unavita kali sana Mwenyezi Mungu akupiganie katika kukomboa wananchi walionyanyasikika miaka 50 ya uhuru.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI MAGUFULI ATIMIZE YA YALE TUNAYOYAHITAJI.AMEN

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad