Operesheni Safisha Wenye Vyeti Feki Serikalini Yaja Mwezi Februari Mwakani

Nchi kwa sasa inakabiliwa na tatizo la kuzagaa kwa vyeti bandia, Hili nalo ni jipu kubwa sana ambalo ni pacha wake ufisadi na sembe!
Sasa kuna tetesi kuwa  Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani.

Hii kwa wale ninaowapenda kama una ndugu ameingia Serikalini na vyeti feki mwezi Februari aombe likizo sombasomba inakuja isikuaibishe.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAANZE NA BOT ,HUKO NDIO KUNA MIUJIZA, KILA MTU ANA MASTER YA UK, AU USA, YAANI KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  2. Anzie Msoga rais mwenye PhD feki duniani hakuna

    ReplyDelete
  3. Mkuu wa mkoa Tanga
    Mwatumu Mahiza eti ana diploma toka university of Oslo
    Jamani Mwatumu alikuja Summer school it's only one month
    Kwenye cv yake diploma
    Fyuuuuuuuuuu cmm

    ReplyDelete
  4. hii ije haraka sana jamani... Eee Mwenyezi Mungu Baba yetu wa Mbinguni, asante kwa kusikiliza sala za wanao tuliokulilia kwa miaka mingi. vigogo na familia zao wametunyanyasa sana sasa imefikia wakati wa wao kunyanyasika. Asante Mungu kwa kutupa Rais mwema!! mbona februari ni mbali sana?? tunasubiri kwa hamu kubwa make ofisi za serikali zimejaa uozo mtupu.. kisa bosi ni baba yangu, shangazi yangu, gel frend wangu, mchepuko wangu n.k.

    ReplyDelete
  5. hahahahahahahaha
    magufuli bhana safi sana
    haya sasa mwenye degree za ulaya tuwaone

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad