Akitumia lugha ya mafumbo na moja kwa moja alisema hata ukiwa na fedha hata ukiwa na uwezo wa kufoji documents jua serikali ipo tena ya Magufuli.
Akauliza hivi wakazi milioni nne wa DSM wakiamua kuvamia na kutwaa eneo lao utaenda wapi? Kwanini msitafute maeneo sehemu nyingine na si hili la wanyonge wanapopumzikia?
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
mwekezaji huyu ni rafiki wa karibu sana na mstaafu wa juzi,mhe.jmkikwete na inawezekana uwekezaji huu akawa [yeye mstaafu] anauelewa vizuri.tuishie hapo.
ReplyDeleteMsoga hiyo na washauri wake
ReplyDeleteFyuuuuuuuuuu
NI KWELI KABISAA
ReplyDeleteKwakuwa ana pesa ndo aamue atakavyo?Serikali IPO baba uliyoyafanya kwaxwanyonge yanatosha
ReplyDeleteTumepata mkombozi angalau
ReplyDeleteKazii tu
ReplyDelete