Rais Magufuli Amkalia Kooni Kigogo Aliyetaka Kuchukua Ufukwe wa Coco Beach na Kuwekeza...Amsema Kimafumbo

Akitumia lugha ya mafumbo na moja kwa moja alisema hata ukiwa na fedha hata ukiwa na uwezo wa kufoji documents jua serikali ipo tena ya Magufuli. 

Akauliza hivi wakazi milioni nne wa DSM wakiamua kuvamia na kutwaa eneo lao utaenda wapi? Kwanini msitafute maeneo sehemu nyingine na si hili la wanyonge wanapopumzikia? 


Nafasi za Kazi 
Bonyeza www.ajirayako.com

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwekezaji huyu ni rafiki wa karibu sana na mstaafu wa juzi,mhe.jmkikwete na inawezekana uwekezaji huu akawa [yeye mstaafu] anauelewa vizuri.tuishie hapo.

    ReplyDelete
  2. Msoga hiyo na washauri wake
    Fyuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. NI KWELI KABISAA

    ReplyDelete
  4. Kwakuwa ana pesa ndo aamue atakavyo?Serikali IPO baba uliyoyafanya kwaxwanyonge yanatosha

    ReplyDelete
  5. Tumepata mkombozi angalau

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad