Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 18, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.
PICHA NA IKULU
Rais Magufuli Aongoza Kikao cha Kwanza Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Dar es Salaam
2
December 18, 2015
Tags
Matumaini kulikua na ajenda nzuri sana za utekelezaji wa ahadi zake ivyo basi tunamtakia Rais kila la kheri na serikali yake ya awamu ya tano ktk ujenzi wa TAIFA.
ReplyDeletehahaha mi'ninachosubiri ni kujua gharama za hicho kikao.
ReplyDeleteHapo naona maji ya Kili nusu lita bei yake kwa carton sh. 6,000, na hapo zimetumika si zaidi ya carton 4......, no sambusa,no keki - kwa mwendo huu, ni lazima uchumi wetu UPAE......HAPA KAZI TU!