Rais Magufuli Atoa Kauli Nzito Kwa Mawaziri Aliowateuwa leo..


Wakienda kule mawaziri wakafanye kazi kweli ndio maana sisi tulipochaguliwa tulifanya kazie kweli na hatukwenda kwenye semina elekezi na tulijielekeza, wakajieleze kwenye maeneo yao.
Wasihangaike kufanya sherehe kwa sababu ni kazi ngumu na kama wapo wanaopenda kufanya sherehe wajiandae kufanya sherehe siku wakifukuzwa, contract ni miaka mitano. Wakawafanyie kazi watanzania bila kuwabagua, Baraza hili la wizara 15 tumejiridhisha linaweza kufanya kazi tunayowatarajia kuifanya effectivly. Ngoja tukimaliza uteuzi wote tutajua tumesave kiasi gani ili ziweze kwenda kwa wananchi.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia kutokwa na machozi kila ninapoliona hili jembe letu,
    Asante Mungu.

    ReplyDelete
  2. Umeshindwa kuwa huru kiuchaguzi.kauli itasaidia nini.umeshaonyesha mapungucu makubwa na kuwakatisha mioyo Watanzania. Hivi CCM mna balaa gani.mmnesurika , mmefosi,akini bado mmezba masimio na kufumba ma ho mkitawala nchi kama shamba la bobi bila aibu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata kuandika hujui
      bobi ndo nin ????
      unaandika pumba tuu mavi wewe
      we kama humpendi kale malimao taka taka wewe tuachie rais wetu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad