Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Waingia Mtaani Kumuunga Mkono John Magufuli

Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete nao wapo kwenye maeneo yao hivi sasa wanafanya Usafi. #UhuruWaUsafi #UsafiDay

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msanii katika ubora wake.suti,mokasini katika swala la usafi?hayo ni maandamano au?

    ReplyDelete
  2. Ungesafisha mifisadi wenzio kwanza sio saivi unasafisha vumbi uwatie wenzio FB

    ReplyDelete
  3. msanii tu huyo hata mavazi aliovaa hayasadiki na kazi anayoenda kufanya

    ReplyDelete
  4. Kwa ufagio upi WA kufagia
    Kikwete ulikaa na ufagio miaka , majina ya wauza unayo tena Na kutaja hadharani
    Eti Leo nawe umebeba ufagio ,kikwete una haya Kama mwenzio mkapa Kwani wote ni WA watu scandalllllllllloy

    ReplyDelete
  5. Jamaa ni mshamba wa kupenda kupanda ndege na kupigwa picha za kutafuta sifa ambazo hanazo huyu jamaa na yule mlevi wa kuitwa Mkapa wametulostisha sana sisi wabongo wakati wa utawala wao fake lakini no sweat the time will tell

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad