Raisi wa Tanzania Anaongozwa Kwa Kupendwa Africa

Imethibitika katika uchunguzi uliofanya na taasisi moja inayojiushisha na tafiti mbalimbali imebainika kuwa rais wa Tanzania Mr. John Magufuli anaongoza katika bara la Afrika kuwa ni rais anaepedwa sana na raia wake kuliko rais yoyote barani humu.

Inasemekana rais huyu anakadiliwa na zaidi ya watu milion 35 ndani ya nchi yake pekee wanampenda toka moyoni kabisa , pia zaidi ya watu milion 4 mpaka 6 katika katika nchi za Kenya , na Uganda.

Pia imejumuisha na wale waishio nje ya bara hili, rais wa pili ni rais mpya wa Nigeria , Kagame kashika nafasi ya 3 akifatiwa na Zuma

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Najidanya Nani kasema si tungeona
    CNN
    Au BBC
    Wa bongo ubishooooooooooooo
    Fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. Kama kuna Mtanzania asiyempenda Magufuli ana chuki binafsi kama sio mapepo,Tuwaombee watoke kwenye hivyo vifungo vya chuki.Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete
  3. Kwa usdilifu wake alionao ni lazima apendwe na pia atazidi kupendwa zaidi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad