Sakata la Makontena: Polisi Kwa Kushirikiana na TRA Wakamata Makontena 9

Maofisa wa Jeshi la Polisi  Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia makontena 9   Mbezi Tanki Bovu baada  ya  kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu na maajabu kweli,pamoja na kuambiwa na serikali ya awamu ya 5 tuache mambo ya kinyemela lakini wako walioziba pamba masikioni.Hapo tusemeje sasa,ni ujeuri?kujiamini?kutojali AU?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hao waliokamatwa tayari kama watapelekwa mbele ya sheria na kukutwa kweli wana makosa ya kukwapua hayo mabilion na kuyafanya yao kwao binafsi badala ya kuyaingiza hayo mabilioni kwenye mfuko wa serikali na wakahukumiwa waende jela na wazirudishe hizo pesa zote then wafilisiwe mali zao zote maana sidhani mishahara waliokuwa wanapiliwa ingeweza kuwafanya wawe mabilionea hapo ndipo wale wengineo wote wenye tamaa ya dizaini hiyo wataona ah kumbe sio utani mabo yenyewe ni jela wataacha mchezo wao mchafu unaonuka kama kidonda ndugu kudadeki zao mafisadi wote nchini Tanzania nawachukia yaani usipime

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad