Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.
Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...
Mtanzania, 24.12.2015
unajuta hata mlivyoingia na jina la JPM mfukoni pale dom mkamteua,, na bado mtajuta ni Mungu aliwatumia ili mtuchagulie sisi wanyonge. kaa pembeni mzee muda wako ulikwisha subiri mahakama yenu ya ufisadi ifunguliwe uisome namba.
ReplyDeleteMtu mzima ovyo
ReplyDeleteNenda wana kwenda
Laana ya katiba itakupata duniani hadi akhera
Sita baba! Nakukumbuka toka ulivyo kwa CDA.. mmeshakula vya kutosha... na mliachiwa... salsa naingia JPJM.. ubadhirifu ameuchukia. Hatutaki na haupendi.. kwa kiswahili rahisi.. inaleta Leadership New Era... pumxika rule chako cha halali... anza siyo... unajua JP JM hamuonei haya MTU....Tunampenda na tunamuamini kwa kazi YAKE juu ya maslahi ya Wananchi na Taifa lao... huyu ni mzalendo anaekereka na ubadhirifu... Mwacheni afanye vitu vyake
ReplyDeleteLiangalie kwanza. Hebu litokomee huko hili libaba.ndio miviongozi ayoaribu bara hili la Afrika
ReplyDeleteMzee sita kwa nini uliongopa kuweka kipengele cha miiko ya uongozi? tulikupenda kama JP lakini uliharibu wakati wa katiba ya walala hoi. mlikula njama ya kututafuna ss tusio na meno lakini mungu sio athumani, deal limekula kwenu pole sana tunatesa kwa zamu.
ReplyDelete