Sentensi za Wema Sepetu kwa Mashabiki baada ya Kuimba Wimbo wa Diamond Platnumz…

Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’.

Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita NAT Team Wema mnanipa tabu sana kwahiyo nikiimba nyimbo ya Diamond kaninyoosha nikimpost nimemmiss au mara kanimwaga?, oooh mara hanitaki..mara nimefulia kiukweli maisha mnayonifanya niishi maisha magumu sana Diamond and I are over..We have over karibu mwaka na sasa kila mtu ka move on na sinaga tabia za kiswahili mtoto wa watu basi hata nyimbo nisisikilize‘..Wema Sepetu



Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We have over ndio nini? au swanglish?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaandika "we have been over" hiyo we have over wewe umeisoma wapi? Au ndo kukurupuka kila muonapo post ya wema? Shame on you haters

      Delete
  2. kama hujui slang kafiligiswe.

    ReplyDelete
  3. Tunasikia una mimba
    Bibi lea mimba au hiyo mimba ya mbwa wako au paka wako
    Fyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa wivu mlonayo kwa wema yaani mtaishi kwa mashaka hapa duniani mpaka msikumbuke kuomba msamaha kwa Mola na sijui akhera yenu itakuwaje

      Delete
    2. Akhera ulikwenda wewe Malaya mchanga unakujuwa akhera wewe au baba , mama bibi na babu ukifika it's over
      Ushamuona aliyetoka akhera wewe

      Delete
  4. JAMANI KWANI WEMA KAWAKOSEA NINI MTOTO WA WATU???????

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAIBA UMEME, MAJI NA WANAUME WA WATU. (ANON.9:55). KAACHANA NA DOMO FOR MORE THAN A YEAR NOW..CK JE? HAHAHAHAHAHA

      Delete
  5. Kuzaa sio kupata hata panya road walizaliwa na wana wazazi, kama unazaa lakn unatelekeza watoto kama kuku ni bora tu ungeacha, Wema usijali utazaa tu mama Mungu ndio mpangaji wa yote, kuna waliozaa watoto 14 lkn amebaki mmoja, wengine majambazi nyumba nzima, wengine ndio hawa wamama wanaoolewa na kaka zetu wadogo kabisa kama sio laana kwa hii dunia ni nini.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad