Wananchama na viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa mjini Morogoro wamefanya sherehe zenye lengo la kumuombea hekima na uvumilivu aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa.
Taarifa kutoka mjini Morogogoro zinaeleza kuwa sherehe hizo nusura zivunjike baada ya kutawaliwa na majonzi kwa hali ya juu huku baadhi ya wahudhuriaji wakidondosha machozi kutokana na maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa vyama hivyo.
Mmoja kati ya waandaaji wa sherehe hizo, Bi. Bertha Kombe alieleza katika sherehe hizo kuwa vijana wengi walitupa kadi zao za kupigia kura baada ya matokeo ya urais huku afya za akina mama wa chama hicho zikidhoofu kutokana na kutoridhishwa na muenendo wa uchaguzi huo.
“Vijana wengi mitaani wamevunjwa mioyo na kutupa shahada zao za kupigia kura, kina mama tumejikuta tukikonda na kushindwa kula kwa sababu tunatumia muda mwingi kutafakari kilichotokea,” alisema Bi. Kombe.
Viongozi wa Chadema waliwashukuru wananchi kwa kuitikia wito na kuwataka kuanza harakati za kuomba kura kwa ajili ya mwaka 2020.
Sherehe za Kumuombea Lowassa Uvumilivu na Hekima Nusura Zivunjike
9
December 22, 2015
Tags
hahahahahahahahha poleni bado mko na uchaguzi tuu kha kweli ukawa kazi mnayo na hiii ni dalili tosha kuwa mnampoza lowasa baada ya kubwia pesa zake
ReplyDeleteapa kazi tuu poleni sana na mmekosa kazi mlioanda huo upuuzi
tumeridhika na kufurahishwa na kaso ya Magufuli hatuna mdaa huyo lowasa ajiombee mwenyewe sio kutangaza tangaza upuuuzi wenu ukawa
kazi mnayo ukawa aibuuu
ReplyDeleteMnachokinowa liwassa wetu
ReplyDeleteJamani
Aaaaaah dah makubwa kama mlitegemea lowasa akiingia madarakani mtapewa range n vyakula bure n kujazwa majipu mifukoni mwenu lazima mkonde mwaka huu. Hapa kazi tu. Mungu mlinde Rais wetu mpendwa JPJMAGUFULI asiambukizwe mijipu ya mafisadi ambayo anazidi kuyatumbua.
ReplyDeletepamoja ukawa tumaini la wanyonge
ReplyDeleteTULIIBIWA KURA TULIIBIWA USHINDI,NI VIGUMU KUSTAHIMILI HATA KAMA UNA MOYO WA JIWE. MHESHIMIWA LOWASSA ALIKUWA NDIYE MSHINDI WETU WA KITI CHA URAIS TENA KWA KURA NYINGI MNO. WAPIGA KURA WALIHAMASIKA NA KUJITOA KUJIANDIKISHA KULIKO WAKATI WOWOTE MWINGINE TANGU NCHI IPATE UHURU MIAKA SITINI ILIYOPITA.TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YENYE UEGEMEZI MKUBWA NA CCM VIKISHIRIKIANA NA CHAMA DOLA TAWALA CHA CCM WAMETENDA DHAMBI KUBWA YA MAISHA. KUIBA KURA HALALI ZA WATANZANIA LEO HII KAMA LOWASSA ANGESHIKA DOLA MAISHA YANGEKWISHA BADIRIKA,NEEMA DHAHIRI INGEKWISHA ONEKANA,MIOYO YA RAIA INGEKUNJUKA, MAISHA NA MWANGA MNG'AVINGEKUA VINATAWALA.LAKINI YOTE HAYO HAKUNA,HAMNA,WE ARE TOTALLY SHATTERED,OH MUNGU BABA WA IBRAHIM,TUJAALIE MOYO WA HEKIMA NA UVUMILIVU,AFYA NJEMA TUJE TUIONE NA TUIKUTE 2020,MUIMARISHE MJAAALIE HEKIMA MARADUFU MPENDWA WETU EDWARD NGOYAI LOWASSA ILI KAMA ALIVYOIKOMBOA ZANZIBAR 2015 BASI PIA AIKOMBOE TANZANIA BARA 2020.TUNAKUOMBA MTUKUFU MWINGI WA REHMA UTUSIKIE,EEEMIN.
ReplyDeleteHuyo Liwasa alikuwa mshindi wako wewe na ukoo wenu sio kwetu sisi watanzania
Deletenadhani lowasa alishinda ushindi chumbani kwako ila sio ushindi wa tanzania nzima wale wajinga jinga wapenda dezo ndo walimpa lowasa kura ndo wanalia lia apo juu ila sisi wenye akili zetu na wapenda maendeleo na nchi yetu tulimpa magufuli coz sio mwizi na mchapakazi kweli kweli sio huyo lowasa mbabaishaji
Deletemnalia unafiki tuu huyo lowasa angeeza kutumbua majipu kama magufuli au ni vile mmekosa kazi kenge nyie eti lowasa lowasa my ass mfyuuuuuuuuu
ReplyDelete