Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.
Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.
Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.
Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.
Tazama Video Hapa Chini
HUO NI UHUJUMU UCHUMI NI KOSA KUBWA LA JINAI,HATUJUI MWIZI HUYU ALIEKUBUHU AMELIIBIA SHIRIKA KWA MIAKA MINGAPI.TUNAMSUBIRIA WA KUMKINGIA KIFUA AMBAYE NI DHAHIRI ATATOKEA UPANDE WA CCM YAANI YULE BWANA,YULEEE.
ReplyDeleteMwacheni mtoto wa kigogo
ReplyDeleteAachwe, hilo deni atalipa baba yako?
DeleteMama ongea na mwanao...bwaaahahahaaaa kwikwikwikwiiii
ReplyDeleteKaiba wanaume wa watu weeeee sasa kahamia kwenye umeme. Hahaha kura 90 mtoto wa figa eit. Na lile gari la kuhongwa ushamalizana na TRA au yule baba bado ana shughulikia?
ReplyDeleteIdrisa anaongea 100% bullshit.
idris ni kubwa jinga lililobahatika kupata mshiko bila elimu, amwone Richard mwenzake alivyo choka!
DeleteMashauzi yanataka pesa
ReplyDeleteHaya hii ndo rasha rasha
Bado TRA
Pamoja na kampeni magufuli jembe
hilo swala la umeme kuingia moja kwa moja halipo kwenye nyumba moja sema kwa kuwa huyo msister ni staa litakuzwa sana. hata pale kwetu umeme ni wa dizaini hiyo miaka nenda rudi.mmemeuona magufuli na kasi yake ndo mmeamka kutafuta vidagaa mmeambiwa komaeni na mafisadi papa wa escrow nyie vipi??? kwani umeme wa nyumba ya kuishi unawaingizia sh ngapi au huyo msister ana kiwanda cha azam. poleni tibaijuka chenge muhongo ameongezeka mwakiembe na sita... wapelekwe selo. kapa kazi tu!!
ReplyDeletemwizi ni mwizi awe mdogo au laa kajambe mbele
DeleteAna u star gani Kila kukicha scandals
DeleteHata mama kisha give up
Fyuuuuuuuuu
Ushauri WA bure mwambie mange akutafutie bwana mzungu utoke bongo
DeleteKwani unanuka bibiye
Tatizo lako wazungu huwawezi unapenda umbea na ubishoo na midude
Shoga hata wazungu wana midude bibi
Yalikuwa ya jakaya hayo mlea mafisadi WA wezi
DeleteSi kwa magufuli sasa kazi tuuuuuuuuuuuuu
Alijuwa sana kwanza alitamba mitaandoni kanunua nyumba kumbe ya kupanga
ReplyDeleteLola Zari miye sijawahi kuwa mwizi
Mungu analipa hapa hapa dunia
Dna zinaanzia kwenye luku, sijui maji vipi
Bado TRA
Mashauzi yanataka pesa
Ubishoooooooooo
Fyuuuuuuuu
Kumbe mwizi mwizi kweli zari sijaiba maishani mwangu
ReplyDeletePamoja Na wewe Na mashoga zako kunikanda
Haloooooooo
DNA iko kwako shoga kuanzia mbwa, kuku, paka luku
Maji, magari na duka la mwananyamala
Mungu alipataje
Fyuuuuuuu
PIGENI HESABU TANESCO MFIKISHENI MAHAKAMANI KWA HILI KOSA BAYA LA UHUJUMU UCHUMI,KILA RAIA MWEMA MWENYE TAAIFA ZA WAHUJUMU HAWA ASISITE KUTOA TAARIFA,KWA PAMOJA TUIJENGE NCHI YETU.
ReplyDeleteAcheni kujisumbua mafundi haohao ndiyo waungaji wa umeme direct kwa watu. Siku wakichacha wanawaleta wa operations wanakutoa pesa wanaenda zao. Kama wizi wote wezi. Kuna nyumba zina two lines. Line ya wezi inatumia vitu vidogovidogo Na line ya magumashi tena wengine huichimbia ukurani hasaa. Hiyo ndo ya ac. Cooker. Machines. Na taa za nyumba nzima nje huko. Yaani itakuwa Na switch yake maalum.
ReplyDeleteJe mwizi mteja au tanesco wenyewe?
Mteja ndo mwizi
DeleteWema
Pamoja na kuambiwa Zari Mimi Mtu mzima
ReplyDeleteSijawahi kuiba maishani
Pamoja na kunisema nina paji la USO lakini hakuna binadamu aliye kamili
Mwanangu tiffa toka mimba mwema team mmechamba duniani hadi akkhera ati si mtoto wa dioamond
Lakini mimi na domo Kama mnavyomwita bongo tiffa ni wetu
Kila kukicha dna
Halo mungu weeeeeeeeee nilipie hapa hapa
Zari miye
Mnakunya maneno eti Mimi na mama domo tuna bifu
Jamani hakuna bifu na hata Kama bifu wewe wema mbona una bifu na mama yako mzazi
Sembuse Mimi mama mkwe it's normal
Sasa
Sijui Nani shoga atakulipia Hilo deni
Uliilipiya wengi kwa u bi shook
Wote wamekutema kwa mdomo wako
Labda mange naye hana kitu nguo zake USA dola 10 atuuzue bongo dola 100 fyuuuuu
Malaya Yule
Najuwa mtamtia danga mwenye nyumba uonekani msafi
ReplyDeleteOops Kwani hiyo umekaa miaka mingapi
Usilete eti kodi including electricity and water
Uongo uongo
Tuna rusiti zako ukilipa luku, na maji
Mwizi mkubwa wewe na kibaka
Fuuu
Kusema suna
ReplyDeleteUnajifunza mabaya yako
Hata jk anakandwa sembuse wewe
Jifunze basi Hama bongo
Kwani Namibia kwa Shem kulikoni
Kikulacho kipo nguoni mwako
ReplyDeleteHao hao mashoga zako wamepaka
Maliza scandal hii toka bibi
Hao tanesco mbona hawakwenda kwa Kajara wala Unti
ReplyDeleteWamekuja direct kwako japo kwenye video wamecheza sinemaaaaaaaaaaaaaa
Sitaki kuamini mtu anaefanya sherehe kubwa kiasi cha kustaajabisha wasanii wenzie halafu unaiba umeme,mwemwemwemwemwe wajameni!Hela za kuhongwa chafu,siku zote zina mwisho mbaya.Mtakoma sasa,mtakuwa mnapawa hela za lotion tu,ukizingatia wengi kati ya waliokuwa wanawatia jeuri mjini wametumbuliwa majipu,wanauguza vidonda.
ReplyDeleteMajipu hao nendeni kwa waganga
ReplyDeleteMtakoma mwenzenu kariuki kawa waziri msilikuwa naye kwenye kampeni
Kiko wapi
Fyuuuuuuuuuuu
Wengine walihama UKAWA
Kiko wapi