Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu

Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.

Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.

Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.


Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.



Tazama Video Hapa Chini

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUO NI UHUJUMU UCHUMI NI KOSA KUBWA LA JINAI,HATUJUI MWIZI HUYU ALIEKUBUHU AMELIIBIA SHIRIKA KWA MIAKA MINGAPI.TUNAMSUBIRIA WA KUMKINGIA KIFUA AMBAYE NI DHAHIRI ATATOKEA UPANDE WA CCM YAANI YULE BWANA,YULEEE.

    ReplyDelete
  2. Mwacheni mtoto wa kigogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aachwe, hilo deni atalipa baba yako?

      Delete
  3. Mama ongea na mwanao...bwaaahahahaaaa kwikwikwikwiiii

    ReplyDelete
  4. Kaiba wanaume wa watu weeeee sasa kahamia kwenye umeme. Hahaha kura 90 mtoto wa figa eit. Na lile gari la kuhongwa ushamalizana na TRA au yule baba bado ana shughulikia?
    Idrisa anaongea 100% bullshit.

    ReplyDelete
    Replies
    1. idris ni kubwa jinga lililobahatika kupata mshiko bila elimu, amwone Richard mwenzake alivyo choka!

      Delete
  5. Mashauzi yanataka pesa
    Haya hii ndo rasha rasha
    Bado TRA
    Pamoja na kampeni magufuli jembe

    ReplyDelete
  6. hilo swala la umeme kuingia moja kwa moja halipo kwenye nyumba moja sema kwa kuwa huyo msister ni staa litakuzwa sana. hata pale kwetu umeme ni wa dizaini hiyo miaka nenda rudi.mmemeuona magufuli na kasi yake ndo mmeamka kutafuta vidagaa mmeambiwa komaeni na mafisadi papa wa escrow nyie vipi??? kwani umeme wa nyumba ya kuishi unawaingizia sh ngapi au huyo msister ana kiwanda cha azam. poleni tibaijuka chenge muhongo ameongezeka mwakiembe na sita... wapelekwe selo. kapa kazi tu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwizi ni mwizi awe mdogo au laa kajambe mbele

      Delete
    2. Ana u star gani Kila kukicha scandals
      Hata mama kisha give up
      Fyuuuuuuuuu

      Delete
    3. Ushauri WA bure mwambie mange akutafutie bwana mzungu utoke bongo
      Kwani unanuka bibiye
      Tatizo lako wazungu huwawezi unapenda umbea na ubishoo na midude
      Shoga hata wazungu wana midude bibi

      Delete
    4. Yalikuwa ya jakaya hayo mlea mafisadi WA wezi
      Si kwa magufuli sasa kazi tuuuuuuuuuuuuu

      Delete
  7. Alijuwa sana kwanza alitamba mitaandoni kanunua nyumba kumbe ya kupanga
    Lola Zari miye sijawahi kuwa mwizi
    Mungu analipa hapa hapa dunia
    Dna zinaanzia kwenye luku, sijui maji vipi
    Bado TRA
    Mashauzi yanataka pesa
    Ubishoooooooooo
    Fyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Kumbe mwizi mwizi kweli zari sijaiba maishani mwangu
    Pamoja Na wewe Na mashoga zako kunikanda
    Haloooooooo
    DNA iko kwako shoga kuanzia mbwa, kuku, paka luku
    Maji, magari na duka la mwananyamala
    Mungu alipataje
    Fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. PIGENI HESABU TANESCO MFIKISHENI MAHAKAMANI KWA HILI KOSA BAYA LA UHUJUMU UCHUMI,KILA RAIA MWEMA MWENYE TAAIFA ZA WAHUJUMU HAWA ASISITE KUTOA TAARIFA,KWA PAMOJA TUIJENGE NCHI YETU.

    ReplyDelete
  10. Acheni kujisumbua mafundi haohao ndiyo waungaji wa umeme direct kwa watu. Siku wakichacha wanawaleta wa operations wanakutoa pesa wanaenda zao. Kama wizi wote wezi. Kuna nyumba zina two lines. Line ya wezi inatumia vitu vidogovidogo Na line ya magumashi tena wengine huichimbia ukurani hasaa. Hiyo ndo ya ac. Cooker. Machines. Na taa za nyumba nzima nje huko. Yaani itakuwa Na switch yake maalum.

    Je mwizi mteja au tanesco wenyewe?

    ReplyDelete
  11. Pamoja na kuambiwa Zari Mimi Mtu mzima
    Sijawahi kuiba maishani
    Pamoja na kunisema nina paji la USO lakini hakuna binadamu aliye kamili
    Mwanangu tiffa toka mimba mwema team mmechamba duniani hadi akkhera ati si mtoto wa dioamond
    Lakini mimi na domo Kama mnavyomwita bongo tiffa ni wetu
    Kila kukicha dna
    Halo mungu weeeeeeeeee nilipie hapa hapa
    Zari miye
    Mnakunya maneno eti Mimi na mama domo tuna bifu
    Jamani hakuna bifu na hata Kama bifu wewe wema mbona una bifu na mama yako mzazi
    Sembuse Mimi mama mkwe it's normal
    Sasa
    Sijui Nani shoga atakulipia Hilo deni
    Uliilipiya wengi kwa u bi shook
    Wote wamekutema kwa mdomo wako
    Labda mange naye hana kitu nguo zake USA dola 10 atuuzue bongo dola 100 fyuuuuu
    Malaya Yule

    ReplyDelete
  12. Najuwa mtamtia danga mwenye nyumba uonekani msafi
    Oops Kwani hiyo umekaa miaka mingapi
    Usilete eti kodi including electricity and water
    Uongo uongo
    Tuna rusiti zako ukilipa luku, na maji
    Mwizi mkubwa wewe na kibaka
    Fuuu

    ReplyDelete
  13. Kusema suna
    Unajifunza mabaya yako
    Hata jk anakandwa sembuse wewe
    Jifunze basi Hama bongo
    Kwani Namibia kwa Shem kulikoni

    ReplyDelete
  14. Kikulacho kipo nguoni mwako
    Hao hao mashoga zako wamepaka
    Maliza scandal hii toka bibi

    ReplyDelete
  15. Hao tanesco mbona hawakwenda kwa Kajara wala Unti
    Wamekuja direct kwako japo kwenye video wamecheza sinemaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  16. Sitaki kuamini mtu anaefanya sherehe kubwa kiasi cha kustaajabisha wasanii wenzie halafu unaiba umeme,mwemwemwemwemwe wajameni!Hela za kuhongwa chafu,siku zote zina mwisho mbaya.Mtakoma sasa,mtakuwa mnapawa hela za lotion tu,ukizingatia wengi kati ya waliokuwa wanawatia jeuri mjini wametumbuliwa majipu,wanauguza vidonda.

    ReplyDelete
  17. Majipu hao nendeni kwa waganga
    Mtakoma mwenzenu kariuki kawa waziri msilikuwa naye kwenye kampeni
    Kiko wapi
    Fyuuuuuuuuuuu
    Wengine walihama UKAWA
    Kiko wapi



    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad