STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford Afurahia Kumaliza Mwaka Kwa Kumpata Mpenzi Mpya

Shamsa Ford
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake.

Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza malengo pia kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mume wangu mtarajiwa, ndani ya mwaka huu nimejifunza siyo vizuri kuweka uhusiano wazi hasa kwenye mitandao ya kijamii, maana unajidhalilisha unaweza kujikuta leo uko na huyu kesho na huyu inakuwa ni aibu,” alisema Shamsa.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanamke kinyonyzi wa nywele utamjua tu kwa ishara zake. Umalaya kazi kweli yaanai mwaka mmoja unabadilisha wanaume zaidi ya sita!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad