Taarifa Sahihi Kutoka Kwa Prof Ibrahim Lipumba Kuhusu Tetesi ya Kuteuliwa Kwake na Magufuli Kuwa Mshauri wa Uchumi

Baada ya taarifa nyingi kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais John Magufuli amemchagua aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba kuwa mshauri wa masuala ya kiuchumi nchini.
Haya ndio majibu ya Prof. Lipumba, unaweza kuyapata kwa kubonyeza Play hapa chini:
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hy ndo profesa bhana,habahatishi wala hakurupuki

    ReplyDelete
  2. Prof. Uko vizuri. Wanaokubeza ni wale ambao hawajui nini maana kuwa na elimu bora, opposition side na kujuweka mbele maslahi ya taifa. Unabusara prof.

    ReplyDelete
  3. kimbelembele,sasa kwanza jiunge na ccm ndipo uombe kibarua maalum kwa wana ccm.lakini ikumbukwe wewe Lipumba uliwahi kuwa mshauri wa masuala ya uchumi wa mzee ally hassan mwinyi,ukaharibu vibaya akakufukuza kazi.kitu kimoja uangalie, mheshimiwa magufuli hana wa ukaribu naye mzembe,mbabaishaji,anayeota umaarufu na kuganga njaa.mheshimiwa magufuli anaweza kukutimua kazi kupitia kwenye simu,si mchezo.akikugundua tuu unajikomba kwake basi ujue wewe ni OUT OF CONSIDERATION.NASIKILIZENI SANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujamwelewa prof. Msikilize kwa makini. Ajikombe anashida gani. Alikuwa mshauri wa uchumi Uganda. Na alishawahi kujibu kushauri sio kutenda. Wewe ukimshauri unayempenda akataaa ushauri wako utafanyeje. Be creative. Kama unachuki naye Co lzm umtukane. Au kwa vile alimkimbia edo nn. Alishindwa jinc ya kumsafisha fisadi. Hata waliomng'ang'ania walishindwa kumnadi Kama mtu msafi wakati wa kampeni. Waache wasomi wetu watukie taifa letu kwakuwashauri viongozi. Ww ungepewa nafac ungemshauri nn rais kuhusu uchumi. Pengine ungependa kusema machangudoa wasinyanyasike.

      Delete
    2. Ni kweli kabisa chuki binafsi zikitawala hata ukweli huusemi hivi ni nani asiyejua kama Pro` Lipumba yuko sawa kiushauri wa kiuchumi si Tanzania tu hat dunia kwa upan wake inamfahamu,Mh Magufulini jembe kweli anaona mbali na insha -Alla ataifikisha mbali tanzania kimaendeleo lazima taka tusitake wahujumu uchumi tuwe nao faida yake tutaiona watatujulisha njia ambazo si njema kuzitumia na zikitumika vibaya vipi na nani waliokuwa wakizitumia mbali na wao kuwemo tutawakamata na kurejesha mabilioni kwa muda mfupi watanzania wote na hasa wa hali ya chini wakapat keki ya taifa.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad