Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu!
Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!
Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.
Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Milions of people and vigogo wanaiba umeme
ReplyDeleteSikatai wema ana mapungufu yake kama binadamu wengine
Lakini million 8 Kwani wema ana kiwanda nyumbani kwake kwa umeme gani hadi ifikie kiasi hicho
Cha msingi tuweke ukweli
Sikatai sipendi nyodo Na mashauzi yake
Lakini kwa hili la umeme Na maji si yeye pekee yake inawezekana hao hao tanesco Na dawasa walimfuata
Watanzania tuulizane kuna Mtu anakataa rahisi jamani
Mwacheni wema angaikeni Na mafisadi papa wenye wiwanda
Nipe no nikupigie nipo ughaibuni
DeleteUna private webside
SO? KAWAAMBIA ATASHINDWA KULIPA AU... NA WALE WALOIBA MAKONTENA MBONA HAMUWAA NDIKI.
ReplyDeleteHaituhuusu. na Almasi atamlipia ngapi Zari next white part.
ReplyDeleteBado Lowasa
ReplyDeleteKuma wewe ya Msoga huyaoni msenge wewe
DeleteHapa kazi tu au mama ongea na mwanao!!hahahahaha
ReplyDeletewe unayetoa matusi unapata faida gani huoni hata aibu mtu mzima
ReplyDelete