Tanesco Wataja Kiasi Wanachomdai Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme! Nimekuwekea Hapa Uone

Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu!

Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!

Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.



Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.

Nafasi za Kazi 
Bonyeza www.ajirayako.com

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Milions of people and vigogo wanaiba umeme
    Sikatai wema ana mapungufu yake kama binadamu wengine
    Lakini million 8 Kwani wema ana kiwanda nyumbani kwake kwa umeme gani hadi ifikie kiasi hicho
    Cha msingi tuweke ukweli
    Sikatai sipendi nyodo Na mashauzi yake
    Lakini kwa hili la umeme Na maji si yeye pekee yake inawezekana hao hao tanesco Na dawasa walimfuata
    Watanzania tuulizane kuna Mtu anakataa rahisi jamani
    Mwacheni wema angaikeni Na mafisadi papa wenye wiwanda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nipe no nikupigie nipo ughaibuni
      Una private webside

      Delete
  2. SO? KAWAAMBIA ATASHINDWA KULIPA AU... NA WALE WALOIBA MAKONTENA MBONA HAMUWAA NDIKI.

    ReplyDelete
  3. Haituhuusu. na Almasi atamlipia ngapi Zari next white part.

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Kuma wewe ya Msoga huyaoni msenge wewe

      Delete
  5. Hapa kazi tu au mama ongea na mwanao!!hahahahaha

    ReplyDelete
  6. we unayetoa matusi unapata faida gani huoni hata aibu mtu mzima

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad