TAZAMA Picha Mbali Mbali za Maafa ya Mvua Dar Leo Disemba 15, 2015

 Maeneo ya Mbagala, Bonde la kuelekea Mission panahofiwa kutokea vifo; Nyumba zimebomoka kwa maji watu wakiwa ndani.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee yupo Tegeta Kibo muda huu anakagua uharibifu uliofanywa na mvua na tayari na malori yanamimina vifusi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad