Tazama Picha Zikionyesha Unyama Unaofanyika Nchini Burundi, Watu Wanauawa Kama Wanyama

Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Kuanzia mwezi Aprili mwaka huu, watu takribani 400 wamepoteza maisha nchini Burundi kutokana na vurugu zinazoendelea

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inabidi sasa tuichukue hii burundi kwa mda ili tuwanusuru wananchi wenzetu wanao uliwa hovyo, huyu nkulunziza sijui nani anaesababisha watu wafe, sisi tanzania tunapata tabu ya kulea wakimbizi wake. huyu inabidi atiwe mbaloni aletwe segerea, alafu kule wananchi wake tuwapangie muwafaka mpya wa kisiasa

    ReplyDelete
  2. Jaribuni kuwa na facts mnapoweka picha. Picha ya kwanza hapo juu sio Rwanda, mnapotosha umma!!!

    ReplyDelete
  3. Asante kwa kuiondoa. Tuko pamoja.

    ReplyDelete
  4. halafu ndo tunajifanyaga eti tanzania hakuna amamni. nyooo watu jioneeni wenyewe kusiko na amani kukoje! tumshukuru Mungu kwa amani yetu na tumuombe aendelee kutulinda. wavunjifu wa amani wachukuliwe hatua kali ikiwezekana hata kunyongwa hadi kufa.

    ReplyDelete
  5. Subiri ya huko Zenji ndo mtajitia kushughulikia ya watu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad