TRA Yakusanya Bilioni 5 za Kodi ya Makontena 329......Wafanyakazi 37 Wasimamishwa Kazi

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA,Phillip Mpango  amewasimamisha kazi wafanyakazi 37 mchana huu  kupisha uchunguzi wa sakata la upotevu wa makontena bandarini

Mpango pia ametoa agizo la watumishi wote wa TRA kuwasilisha taarifa za mali zao kwa utawala na kusiwepo na udanganyifu wowote.

Amesema mpaka sasa TRA imekusanya kiasi cha Tsh Bilioni 5 za kodi ya makontena hayo yaliyokuwa yamepitishwa kinyemela
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWELI HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  2. Sawa,fanyeni kazi zenu kwa staha,heshima na utu.matumizi ya nguvu kupita kiasi si sahihi,na kwa kila hatua inayochukuliwa basi,uchunguzi wa kina uwe umekwisha fanyika.maonezi yeyote ni dhambi na laana.tusijenge nchi kwa chuki na uongo,ila KESI ZA HAWA WEZI WA KWELI AKIWEMO KITILLYA ZIINGIZWE KWENYE MFUMO WA FAST TRACK ILI HUKUMU ZAO ZITOKE NDANI YA MUDA MAALUM.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad