Vyeti Bandia Vinaweza Kuondoa Wafanyakazi Wengi Wizara ya Afya!

Inasemekana kwamba kuna idadi kubwa sana ya wauguzi na baadhi ya watumishi wa wizara ya Afya hasa mahospitali kwa kiasi kikubwa wamegushi vyeti vyao vya sekondari na wengine hawana kabisa vyeti hivyo, wengi ndani ya makazi yao wako matumbo moto wakisubiria fagio la Magufuli.

Inasemekana endapo fagio hilo litatua katika idara mbali mbali ndani ya wizara hiyo linaweza kuzoa watumishi wengi sana ambao kwa muda mrefu wamekua wafanyakazi wa umma ambapo hali hiyo inaweza kusababisha kupungua kwa wafanyakazi wengi sana.

Chanzo: Baadhi ya watumishi wa mahospitali.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani mimi pia muuguzi idara ya afya wako wengi sana na ndiyo vyanzo vya huduma na maadili mabovu

    ReplyDelete
  2. Wakubwa wenyewe vyeti vyao vikaguliwe, hasa mawaziri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad