Wafanyabiashara Mliokimbilia Ubunge Uwabebe Kwenye Mishe Zenu imekula Kwenu

Kama kuna walio na bahati mbaya naongelea wafanyabiashara walioamua kukimbilia bungeni kusaidika.

Hakika kwa speed hii kama kweli umefanikiwaa jiandae kutumikia jimbo kwa nguvu zote pls.

Misamaa ya kizembe na ya kijinga kama zamani haipo tena kwa hapakazi tu kwakweli. Jipangeni mnasaidiaje jimbo mrudi tena.

Nawatakia la kheri najua sio wote wenye mawazo hayo ila kama uliingia bungeni TRA na misaada yake ikubebe imekula kwenu

Nafasi za Ajira
Bonyeza www.ajirayako.com
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Chenge
      Tibaijuka
      CCM
      Muhongo
      Mmewarudisha bungeni

      Delete
  2. Hizo ni sera za Magufuli sio za CCM. Hakuna mwana ccm alokuwa na mpango wa kusimamia wafanyabiashara zaidi ya kuendekeza sherehe na kulindana!!! Imekula kwenu ccm

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad