Wafanyakazi wa TRA Geti No. 5 Waswekwa Ndani Mchana Huu

Upelelezi ukiwa bado unaendelea kufuatia ufisadi wa kupitishwa kwa makontena takribani 350 bandarini bila kulipia ushuru. Leo jeshi la polisi limewakamata wafanyakazi wa TRA ambao ndio wanahusika na upitishaji wa makontena pale bandarini. Taarifa za awali zinasema idadi ya wafanyakazi hao walioswekwa ndani inakadiriwa kuwa ni 27.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio maana yake

    ReplyDelete
  2. diktetaship leadership

    ReplyDelete
  3. Dictatorship kwani na wewe mdau hapo juu ulikuwa unaponea hapohapo nini?Kumbuka"CRIME DON'T PAY"Upo hapo?Acha serikali ifanye kama inavyotakiwa ili hizo zilizokuwa zinaingia mifukoni mwenu nyinyi wezi zikiingia serikalini ziweze kuwahudumia watanzania wote na siyo nyinyi washenzi wachache msiokuwa na huruma na wananchi wenzenu wanaotaabika daily katika maisha yao na nyinyi washenzi mmekaa bar na michepuko yenu mnakunywa beer sasa hivi tuone jeuri yenu kama mtaweza kunywa beer kila siku kwa hiyo mishahara yenu.Au mmesahau kuwa kutesa ni kwa zamu mtu huwa analipa hapahapa duniani kabla hajafa kwa maovu yake nyie"VERFLUCHTE HUNDE"

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad