Kwa wanaofatilia siasa za kenya kulikua na skendo iliyokua inamuhusu waziri wa uhuru Anne Waiguru, huyu Anne Waiguru alikua ni waziri mtu mkubwa na maarufu serikalini.
Zimepotea 795 milion kshs ambazo ni kama 16 billion tz shs amewajibishwa na nyumbani kwake kumepekuliwa na maofisa wa kupambana na rushwa na kukuta mamilioni ya pesa kwenye mabunda, soon atafunguliwa mashtaka na kufungwa.
Juzi hapa Tanzania ufisadi wa escrow umetu cost zaidi 300 billions lakini hakuna hata mmoja aliyepekuliwa na wote wamerudi kua wabunge.
Tunatakiwa kuiga wakenya, sio tunatimua maofisa wa tra na muhimbili alafu tunaanza kujiisifu sana bado tuna safari ndefu kwenye hii vita dhidi ya ufisadi.
Sina nia ya kubeza anachofanya Magufuli, nampongeza ila tunapaswa kushinikiza yafanyike zaidi ya hapa na tumuunge mkono.
Kenya wana upinzani imara ndio maana kukitokea ubadhirifu kidogo tu wanaibana serikali hadi inawachukulia hatua wahusika.
Tusiwabeze wapinzani wa serikali tuwasapoti maana wao ndio wanaweza kuibana serikali kwa niaba yetu panapofanyika madudu kama haya
Msoga hiyo na CCM
ReplyDeleteChenge
ReplyDeleteTibaijuka
Na wengine
CCM
Hiyo
Ya kina nape na kinana
Meno ya tembo Zurich vipi
Fyuuuuuuuu
Mmeufyata cmmmmmmmmm kwa hili
Mafuguli Zurich tupe feedback
Hata Tanzania kuna udini na ukabila
ReplyDeletehii nchi bwana ni shida watu waliiba na waligawana mabilion ya escrow eti wananchi haohao wamewapigiwa tena kura wameingia bungeni tena kuwawakilisha. jiulize hivi mwizi anaenda kukuwakilisha nini pale bungeni??? wakati huku mitaani kibaka akiiba simu au kuku anachomwa moto au kuupigwa sana. basi ili wale wezi wasirudie kuiba angalau wapewe onyo kali na adhabu.... ndo kwanza wapo bungeni.!!!!! mweeeee poleni na ujinga wenu.
ReplyDeleteCCM hiyo ya magufuli nguvu ya soda
Deletewewe wasema
DeleteTupishe yaelekea umeumia Na juhudi zake
Delete