Wanasheria wa Tanzania Waja Juu Kuhusu Udhalilishaji Unaofanywa na Baadhi ya Wakuu wa Wilaya...Watoa Tamko Hili

Wanasheria wa Tanzania Waja Juu Kuhusu Udhalilishaji Unaofanywa na Baadhi ya Wakuu wa Wilaya...Watoa Tamko Hili

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapiga ngoma wa mfalme ndio tatizo lao,wakati Mwepesi anadharirishwa na mwenyekiti walikaa kimya sasa wakuu wanafanya kazi yao midomo juu!

    ReplyDelete
  2. Tatizo wengi wameteuliwa kwa chupi, ngono au fadhila
    Msoga ndo tatizo
    Washauri wake 100000000% shule wakuenda aliendesha nchi kimazabezabe
    Tatizooooooooooooo ni kikweteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    Tz

    ReplyDelete
  3. hizo ni kazi gani za kudhalilishana? kama kuna njia nyingine mbadala itumike sio kuwekana ndani kama wahalifu,. kama hao waliochelewa kufika ni sheria ipi ilitumuka.. naona kuna baadhi yao hawajaelewa msemo wa hapa kazi tu.. wameuchukua huo msemo kama kukomoana,,, kama kazi zilikwepo, zipo na zitaendelea kuwepo tutakufa tutaziacha kazi hazina mwisho ila wewe unayedhalilisha binadamu mwenzio mwisho wako umekaribia.

    ReplyDelete
  4. kikwete aliwalea sana mkajisahau wala hamzalilishwia mnakumbushwa tu wajibu wenu mnaboa kinoma unaenda ofisi ya serikali hupati huduma unakuta mijitu inakutumbulia macho tuu pasipo kukusikiliza apa kazi tuu na wawaeke ndani mshike adabu mpaka mbadilike wasomi wako kibao wanataka izo nafasi eti mnazalilishwa mfyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sababu rais kikwete alikuwa anawajuwa mawaziri WA USA kuliko wakuu WA wilaya au mikoa

      Delete
  5. Tawala zinabadirika,viongozi wanabadirika,tabia hazibadiriki.sasa hivi tumeingia kwenye utawala wa kibabe,kukandamiza,kuamuru,kuchukua hatua bila zingatio la utawala bora na sheria.kamata weka ndani si angalizo la sheria na weledi wa maadili ya kibinadamu,ya ustaarabu. Kwa nini hutoi amri ya vyombo vya usalama wa raia vichukue nafasi kufuatilia na endapo yatagundulika makosa ya kijinai,basi sheria ifuate mkondo wake.lakini 'kamata weka ndani' ni UDIKITETA ULIO KAMILI.NA WOTE KWA PAMOJA TUUNGANE KUULAANI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad