Wasanii Sasa Kuanza Kulipwa na Radio na TV Stesheni Kazi zao Zinaporushwa Hewani....

Serikali yatangaza kuanzia Januari 2016 wasanii watalipwa na Televisheni na vituo vya redio vitakavyokuwa vinatumia nyimbo zao.

Hatua hiyo ilifikiwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa

Nafasi za Kazi
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapa ni kushitukiza na kukurupuka tu!! Je, kama radio zitapiga nyimbo za Mlimani Park au Mbaraka Mwinshehe, au Marijani Rajabu,wamlipe nani? Nafikiri wangefafanua zaidi, maana hapa maswali ni mengi mno.

    ReplyDelete
  2. Du, itawezekana kweli?? sasa vipindi vya muziki vitapungua, tutapata habari za kitaifa na kimataifa na michezo kwa wingi, matangazo ya biashara yataongezeka.
    Watalipwa sh. ngapi? Watalipwa-lipwaje? Hiyo miziki itahesabiwaje?? Kuna hatari baadhi ya nyimbo hatutazisikia kabisa, vile vipindi vya kuchagua mziki kwishney.....HII KALI

    ReplyDelete
  3. Kwa msanii anaechipukia je nae atataka alipwe, maana naiona hii kama wale nguli ndo watanufaika kiasi chake kwa wale wanaohitaji msaada wa media for promoting their songs(underground or upcoming) itakula kwao. Kwa upande mwingine wasanii nyimbo zao zinapochezwa na radio stations ni jinsi mojawapo ya ku-promote kazi zao,, so kuna wengine watanufaika na wengine inaweza kuwa dhahma kwa upande wao. Kituo kipi kitakubali kucheza nyimbo za wasanii wengi wanaochipukia mikoani?,,na usiku kucha redio nyingi zinakesha na mara nyingi ni muziki kuunguruma usiku kucha so radio stations zijiandae hapo (High cost) maana Advertisement kampuni ipi itasema tangazo lake liwekwe usiku and expecting positive outcome?Gharama lazima zitapanda kiasi fulani,,,kazi kwenu pia wenye radio stations ndogondogo na more than one radio stations (station yako ikishindwa kulipa utaifunga tu (hakuna atakaesikiliza) if not subsidized like other public stations....),Tusubiri tuone how practically this will be positive to the industry au itabidi turudi kule kwa "mama na mwana au ngano za muziki na hata majira!!!)
    Nikiri tu kuwa hii kitu inaweza kuwa complex kiasi chake kwa mzaingira ya ki-tz,,kazi kwenu watunga na wasimamia sheria

    ReplyDelete
  4. Kwa msanii anaechipukia je nae atataka alipwe, maana naiona hii kama wale nguli ndo watanufaika kiasi chake kwa wale wanaohitaji msaada wa media for promoting their songs(underground or upcoming) itakula kwao. Kwa upande mwingine wasanii nyimbo zao zinapochezwa na radio stations ni jinsi mojawapo ya ku-promote kazi zao,, so kuna wengine watanufaika na wengine inaweza kuwa dhahma kwa upande wao. Kituo kipi kitakubali kucheza nyimbo za wasanii wengi wanaochipukia mikoani?,,na usiku kucha redio nyingi zinakesha na mara nyingi ni muziki kuunguruma usiku kucha so radio stations zijiandae hapo (High cost) maana Advertisement kampuni ipi itasema tangazo lake liwekwe usiku and expecting positive outcome?Gharama lazima zitapanda kiasi fulani,,,kazi kwenu pia wenye radio stations ndogondogo na more than one radio stations (station yako ikishindwa kulipa utaifunga tu (hakuna atakaesikiliza) if not subsidized like other public stations....),Tusubiri tuone how practically this will be positive to the industry au itabidi turudi kule kwa "mama na mwana au ngano za muziki na hata majira!!!)
    Nikiri tu kuwa hii kitu inaweza kuwa complex kiasi chake kwa mzaingira ya ki-tz,,kazi kwenu watunga na wasimamia sheria

    ReplyDelete
  5. na nyimbo wasizozitaka je wana music si watakuwa 10 tu Tanzania nzima

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad