Wastara Juma Aamua Kufunguka na Kumtaja Mwanaume Anaye Mpenda Kwa Dhati...Adai Anafanana na Sajuki

"Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si mwingine ni      Yusuph Mlela au Mlelandro"

Hayo ni maneno ya mwigizaji Wastara Juma kwenye moja ya post zake kwenye mtandao picha wa instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa Yusuph Mlela
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi huyu dada mzima
    Pamoja na kuwa kiwete bado anauuza sura hapa
    Kweli hii laana ya ex husband
    Tumechoka shoga uguza mguu wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau kumbuka kuwa"Kabla haujafa haujaumbwa bado so watch out what comes outta your mouth u gotta think first

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad