ALI KIBA Adai Hajui Kutongoza na Hajawahi Tongoza Mwanamke..Wote Aliowapitia Wamejileta Wenyewe

Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta wameshakuwa wapenzi bila kujua....

Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaliwa mchana kweupe

    ReplyDelete
  2. Inakuwaje watu hawaoni majivuno ya kipumbavu ya huyu juha.

    ReplyDelete
  3. Aaah,kumbe huwa unaanza kama kishkaji halafu unawalazimisha ngono?pumbavu wewe,kubwa jinga,ovyo kabisa.

    ReplyDelete
  4. Watoto wanne na kila mmoja na mama yake ni sifa?au?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad