Ali Kiba: Cindelela ilipo’Hit’ Ndoto za Kuwa Mchezaji Mpira Maarufu zilikufa

Ali Kiba Uwanjani
Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo na mpira alikuwa anauweza hasa mpaka kutaka kusajiliwa na timu moja kubwa..
Kiba amefunguka kwanini aliacha mpira;

‘’Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguuka,lakini kwenye mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira,’’Kiba.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiba unavipaji vingi, Mungu kakujalia, cyo kama wengine, vipaji vingine walivyojaliwa ni mademu tu!

    ReplyDelete
  2. Vipaji vyao kusema watu Na kujisifia nimekuja juzi ninagari kubwa Nina nyumba nzuri Na nimepewa ulezi Na kidume mwenzangu fyuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad