Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Kuzuia Nyimbo MTV BASE

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi.

“Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba

“Hajabeba talent ya kila mtu, kila mtu ana talent yake, ana haki ya kuonyesha kazi yake coz kila mtu anafanya business ya muziki sasa hivi sio mtu anafanya masihara, na unapomuona mtu anafanya video yake anagharamikia so haipendezi n

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haituhusu sisi mambo ya mjini samatta

    ReplyDelete
  2. habaniwi wala nin kiba minyimbo yake mibaya
    yee alikwepo kwenye mziki kabla ya domo sasa iweje leo hambanie??
    me nyimbo ya kiba haina kick haieleweki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad